Mwigizaji Julias Charles anayefanya vizuri kwenye tamthilia ya Huba, amesema kutokana na urefu alionao anakumbana na changamoto mbalimbali ikiwemo kwenye vyombo vya usafiri.Ju...
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amesema huwa anakataa kupokea mahari kwa ajili ya binti zake, badala yake hulipa mahari kwa familia za vijana wa kiume wanaooa kwake.Hii ni kin...
Kila ifikapo tarehe kama ya leo Machi 8, dunia inaadhimisha siku ya wanawake. Wapo baadhi ya watu ambao huitumia siku hii kuwapa zawadi ndugu zao wa kike, wapo wanaoituma kwa ...
Utafiti uliofanywa na PEW Research Centre, nchini Marekani unaonesha kuwa wanawake wasio na wanaume (Single) nchini humo wanamiliki idadi kubwa zaidi ya nyumba ikilinganishwa ...
Ukiachana na ile kausha damu kumekuwa na michezo mingi yenye manufaa kwa wanawake ambayo hucheza kwa kuwekeza pesa zao, kukopeshana na kisha faida kugawana baadaye, utaratibu ...
Mfanyabiashara #MunaLove amedai kuwa mtu akienda kupata huduma ya upasuaji kwa ajili ya kuongeza makalio kuna taarifa ambazo madaktari huwa hawamwambii mteja hadi wakimaliza k...
Msanii wa muziki kutoka nchini #Nigeria, #Harrysong, amekuwa gumzo nchini humo baada ya kuvunja rekodi ya historia ya kuoa wanawake 30 ndani ya siku moja.
Harry amevunja rekod...
Mwanaume mmoja kutoka nchini Rwanda aliyefahamika kwa jina la Callitxe Nzamwita mwenye umri wa miaka 71 amejitenga kwa miaka 55 akidai kuwa sababu ni kuogopa wanawake.
Inaelez...
Mkuu wa wilaya ya Njombe, Kissa Kasongwa ametoa rai kwa wanawake kupunguza ujasiri wa kwenda kwa wanaume bila kujua vizuri ni mtu waina gani.
Ni baada ya Juma Msemwa mwe...
Polisi kutoka nchini Australia wanachunguza kisa kimoja baada ya wanawake wasiopungua 65 kupokea kondomu zilizotumika kwenye bahasha.
Barua hizo, ambazo pia zilikuwa na jumbe ...
Matukio yametokea Kaskazini mwa BurkinaFaso, ambapo Wanawake hao wametekwa katika makundi mawili kwa muda tofauti. Wakati matukio ya utekwaji yanatokea eneo la Arb...
Hayo yamebainishwa na Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango ambapo ameviagiza Vyombo vya Dola viongeze nguvu kupambana na kudhibiti Ukatili dhidi ya Wanawake, Watoto wa Kike na w...
Duuuuuuuuh! Kwahiyo mmegoma kuoana au vipi basi kwenye tukio la kushtukiza kutoka katika ripoti ya mwaka huu inasemaka kuwa idadi ya watu wa rika ambao hawajaoa imeongez...
Mitoko (Dating) kwa wanawake wengi ni kama vile kwenda kununua Ice Cream.
Kila mara mwanamke anajaribu aina tofauti ya Ice Cream ili kuangalia ni ipi yenye ladha nzuri itakayo...