26
Aweka rekodi ya kupiga push-up 1,575 ndani ya saa moja
Mwanamke mmoja kutoka Canada mwenye umri wa miaka 60 aitwaye DonnaJean Wilde, ameweka rekodi ya dunia kwa kupiga push-up nyingi zaidi ndani ya saa moja.Kwa mujibu wa kitabu ch...
21
Kikongwe zaidi duniani apoteza maisha
Mwanamke aitwaye Maria Branyas Morera kutoka Hispania ambaye alikua akishikiria rekodi ya dunia ya ‘Guinness World Records’ kuwa binadamu mzee zaidi amefariki akiw...
18
Komasava ya Mondi yamfikia Swae Lee
Wimbo wa mwanamuziki Diamond Platnumz wa ‘Komasava’ aliomshirikisha Chley na Khalil Harrison umeendelea kuupiga mwingi na sasa umemfikia ‘rapa’ wa Mare...
30
Klabu ya Al Hilal yavunja rekodi
Klabu anayoichezea nyota wa Brazil Neymar ya Al Hilal kutoka Saudia imevunja rekodi ya dunia na kuingia katika kitabu cha ‘Guinness World Records’ baada ya kushind...
25
Mtoto wa mwaka mmoja aweka rekodi ya dunia
Mtoto wa mwaka 1 na siku 152 kutoka Ghana aitwaye Ace-Liam Nana Sam Ankrah ameweka rekodi ya dunia ‘Guinness World Records’ kwa kuwa mchoraji mdogo zaidi duniani.K...
16
Aendelea kushikiria rekodi ya kuwa na nywele ndefu asili
Mfanyabiashara kutoka New Orleans, Marekani, Aevin Dugas ameendela kushikilia rekodi ya kuwa na nywele ndefu za asili duniani ambapo mpaka kufikia sasa nywele hizo zina urefu ...
16
Gift atamani kuwa Miss Tanzania
Miss Kinondoni Gift Moureen, mlimbwende anayechipukia kwa kasi ameeleza kwa undani kuhusiana na safari yake ya urembo na kusema anataka kuona siku moja anatwaa taji la Taji la...
22
Mwanariadha wa Kenya atunukia cheti na Guinness
Mwanariadha kutoka nchini Kenya aitwaye Peres Jepchirchir amevunja rekodi ya dunia ya ‘Guinness World Record’ kwa upande wa wanawake kwa kukimbia mbio ndefu za Lon...
21
Avunja rekodi kwa kukaa kwenye barafu saa nne
Mwanamume mmoja kutoka Poland aitwaye Ɓukasz Szpunar (53) amevunja rekodi na kuingia katika kitabu cha ‘Guinness World Records’ kwa kukaa kwenye barafu zaidi ya s...
13
Jaji atupilia mbali kesi ya Drake
Baada ya kuhusishwa katika kesi ya vifo vya watu 10 vilivyotokea katika tamasha la Astroworld lililofanyika mwaka 2021, hatimaye Jaji Kristen Hawkins ametupilia mbali kesi hiy...
12
Ruger afunguka sababu za kuondoka Jonzing World
Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria Ruger amefunguka mazito kuhusiana na sababu iliyomfanya atemane na lebo yake ya zamani iitwayo ‘Jonzing World’ kwa kudai kuwa wal...
16
Hilda Baci kufungua chuo cha mapishi
Mpishi maarufu ambaye alijuliakana zaidi baada ya kuvunja rekodi ya kupika kwa muda mrefu Hilda Baci anatarajia kufungua chuo cha mapishi ambapo darasa la kwanza linatarajiwa ...
14
Aliyekuwa akipumulia mashine kwa miaka 72 afariki dunia
Aliyekuwa mwanasheria ambaye amekuwa akipumulia mashine ya mapafu kwa zaidi ya miaka 70 aitwaye Paul Alexander amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 78, Machi 11 mwaka huu.Ta...
10
Mfahamu zaidi Miss World 2024
Krystyna Pyszková(24) Miss Czech Republic 2022, ndiye mshindi wa taji la Miss World 2024 shindano ambalo lilifanyika Mumbai, India usiku wa kuamkia leo, huku nafasi ya ...

Latest Post