Mwanamuziki wa Bongo Fleva nchini anayetamba na ngoma ya ‘Ololufemi’ Jux ameweka wazi tofauti kati ya mpenzi wake wa sasa Priscilla Ajoke na wapenzi wake wa nyuma ...
Na Glorian Sulle
Ndoa ni tukio la kisheria au kijamii na kihisia ambalo linaunganisha watu wawili au zaidi kwa madhumuni ya kuishi maisha ya pamoja. Kwa kawaida ndoa inajumuis...
Imedaiwa kuwa mchezaji wa klabu ya Manchester United, Marcus Rashford ameingia katika mahusiano na mwanamitindo kutoka nchini Colombia, Erica Correa baada ya hivi karibuni kuo...
Wapenzi kutoka Kentucky nchini Marekani waliotambulika kwa majina Logen Abney na Tiana Ailstock wamebeba vichwa vya habari vingi nchini humo baada ya kufunga ndoa chooni.Ndoa ...
Mwanamuziki wa Bongofleva nchini Zuchu ameweka wazi kuwa yeye na mpenzi wake ambaye pia ni Bosi wake Diamond kuwa hawapo kwenye mahusiano.Zuchu kupitia ukurasa wake wa Instagr...
Inawezekana ikawa ni ajabu lakini huo ndiyo utaratibu ulioko nchini Korea Kusini ambapo ikifika Februari 14, siku ya Valentine, wanawake ndio wanawapa wanaume zawadi tofauti n...
HIVI karibuni staa wa singeli Bongo, Dulla Makabila ameachia wimbo ‘Furahi’ kwa ajili ya aliyekuwa mke wake, Zaiylissa ambaye ameolewa na Haji Manara ikiwa ni miez...
Usiku wa kuamkila leo msanii wa singeli Dulla Makabila alikuwa na show Yombo ambapo alimpandisha ‘stejini’ aliyekuwa mke wa Haji Manara, Rushaynah jambo ambalo lil...
‘Rapa’ kutoka nchini Marekani Offset na mkewe Cardi B wamezua gumzo mitandaoni baada ya wawili hao kufuta urafiki kwenye mtandao wa Instagram.
Baadhi ya mashabiki ...
Habari za kusikitisha kwa wapenzi wa mpira wa vikapu, ‘kocha’ mkongwe wa NBA kutokea nchini Marekani, Brendan Malone amefariki dunia siku ya Jana akiwa na umri wa ...
Ebane! Huko majuu kumenoga hatari famasiala na mapenzi wewe, bwana baada ya kusitisha uhusiano wao wiki chache zilizopita, wasanii kutoka Marekani Avril Lavigne na Tyga waunga...
Na Magreth Bavuma
Ouyaaaaaah wanangu eeeeh niaje niaje, kusanya kijiji chako wakaribishe kwenye kona yetu pendwa ya dunia ya wanavyuo “unicorner” eneo moja tu tuna...
Mkuu wa mkoa wa Rukwa Queen Sendiga katika uzinduzi wa zahanati katika kijiji cha Mpona mkoani humo amesema kuwa wenza (wapenzi) wote wenye watoto hawatakiwi kuachana ba...
Rais nchini Zambia, Hakainde Hichilema amewataka raia wa nchi hiyo kuacha kuchunguza simu za wenzi wao na maoni hayo yamekuja kwa kujaribu kupunguza viwango vya talaka nchini....