Ikiwa leo ni siku ya Wapendanao ‘Valentine Day’ mwanamuziki Diamond hakutaka ipite hivi hivi ambapo ameamua kuwaziba midomo wambea kwa kutuma ujumbe wa mahaba kwa ...
Kila kitu kimebadilika. Hata Hayati Magufuli naye akiibuka hii leo atastaajabu vitu vingi. Ulitegemea Bunge hili kuwa nje ya mikono ya Job Ndugai? Ulitegemea Alikiba kuhamia S...