Kabla ya kutumia bidhaa za urembo, ni muhimu kujua na kuelewa mambo kadhaa ili kuhakikisha kuwa unatumia bidhaa zinazofaa na salama kwa ngozi yako. Mwananchi Scoop imeangazia ...
Urembo wa miwani umekuwa ukipendwa na watu wengi sana na mara nyingi urembo huo uleta muonekano wa kitajiri kwa wavaaji. Kutokana na hilo unaponunua miwani ya urembo, k...
Imekuwa ni desturi kwa baadhi ya watu kununua bidhaa fulani kutokana na kutangazwa sana. Matangazo hayo huwaweka katika ushawishi wa kutaka kununua bidhaa hiyo ili kuji...
Na Pelagia DanielInaweza kuwa ni ajabu kwa jamii zetu za Kitanzania kutokana na tamaduni wanaume kuvaa vipini puani na hereni lakini katika ulimwengu wa mitindo na utandawazi ...
Kitambi ni moja ya kitu ambacho hukosesha raha baadhi ya watu hasa wanawake, na ndiyo maana baadhi yao hutumia njia mbalimbali kukiondoa, ikiwemo kufanya mazoezi, diet na njia...
Siku nyingine tena kwenye dondoo za mitindo na urembo. Leo tunaangalia mambo yakuzingatia wakati wa ubandikaji kucha. Ubunifu kwenye masuala ya urembo wa kucha umezidi kukua, ...
Wanawake na mabinti wengi wamekuwa wakitumia urembo wa make up kupaka kwenye nyuso zao kwa lengo la kupata muonekano tofauti, hasa wakienda kwenye masherehe au kwenye kazi zao...
Leo katika segment ya Fashion nimekusogezea dondoo zitakazo kusaidia wewe msichana au mvula ambaye unatatizo sugu la uso wako kuwa na mafuta mengi, hata usijali wewe endelea k...
Hatimaye uchunguzi wa maiti uliofanywa na wataalamu umethibitisha kuwa muigizaji na mfanyabiashara Jacky Smith aliyefariki dunia mwezi mei mwaka huu, alipoteza maisha kutokana...
Mambo vipi wapenda mitindo kama mimi? haya sasa nikukaribishe tena kwenye ulimwengu wa Fashion hapa katika jarida lako pendwa la Mwananchi Scoop, tuweze kuudadavua urembo na m...
Leo katika segment yetu ya fashion tutaelezea jinsi ya kutengeza nywele natural kwa kutumia mtindo wa extension hasa kwa mabibi harusi.Urembo wa nywele ni moja kati ya jambo l...
Najua ni vigumu kueleza kinagaubaga maana halisi ya neno urembo ila naweza kusema kuwa urembo ni utumiaji wa mapambo, manukato, marashi, uturi, mavazi na rangi ili kupendeza n...