02
Mambo matatu kwa Mondi akiwa na miaka 35
Ikiwa leo Oktoba 2, mwanamuziki wa Bongo Fleva nchini Naseeb Abdul 'Diamond' anasheherekea siku yake ya kuzaliwa akitimiza miaka 35, ndani ya miaka hiyo msanii huyo tayari ame...
28
Uvaaji vipini na hereni kwa wanaume ni fasheni
Na Pelagia DanielInaweza kuwa ni ajabu kwa jamii zetu za Kitanzania kutokana na tamaduni wanaume kuvaa vipini puani na hereni lakini katika ulimwengu wa mitindo na utandawazi ...
28
Rayvanny aujaza uwanja wa Albania, Ulaya
Usiku wa kuamkia leo Juni 28, mwanamuziki wa Bongo Fleva nchini Rayvanny alifanya show katika uwanja wa mpira wa ‘Air Albania Stadium’ na kupokelewa kwa shangwe na...
24
Hakimi atua Tanzania, Rais wa Yanga ampokea
Rais wa klabu bingwa Tanzania Bara #YangaSC Mhandisi Hersi Said amempokea mgeni wake #AchrafHakimi katika Uwanja wa Kimataifa wa Kilimanjaro ‘KIA’. Mchezaji huyu b...
19
Kinda wa Uturuki arda avunja rekodi ya Cr7
Kinda wa Uturuki Arda Guler amevunja rekodi ya Cristiano Ronaldo ya kuwa mchezaji mwenye umri mdogo zaidi kufunga bao kwenye ‘mechi’ yake ya kwanza kwenye mikikiki...
25
Jobe agombaniwa Ulaya
Kiungo wa ‘klabu’ ya #Sunderland, Jobe Samuel Bellingham agombaniwa na ‘vilabu’ kadhaa barani Ulaya ikiwemo #Chelsea na #TottenhamHotspur kwa ajili ya ...
10
Januari 2024 yavunja rekodi kuwa na joto kali
Kwa mujibu wa ‘Huduma ya Umoja wa Ulaya ya Kubadilisha Tabianchi ya Copernicus’ kufuatiwa na ripoti yake iliyotolewa hivi karibuni imeeleza kuwa Januari 2024 ndiyo...
18
Schwarzenegger aachiwa
Muigizaji wa filamu kutoka Marekani Arnold Schwarzenegger, ameruhusiwa kupiga mnada saa yake ya gharama nchini Austria, baada ya kutolewa kizuizini katika uwanja wa ndege wa M...
18
Jordan arudisha majeshi Ulaya
‘Klabu’ ya #AjaxAmsterdam ya nchini #Uholanzi imefikia makubaliano ya kumsajili nahodha wa zamani wa ‘klabu’ ya #Liverpool, #JordanHenderson kwa mkatab...
19
Kane hashikiki Ulaya
Baada ya watu wengi kuona pengine asingekuwa na makali baada ya kujiunga na ‘klabu’ ya #BayernMunich akitokea katika ‘klabu’ ya #Tottenham, #HarryKane ...
11
Toure atamani kuona ‘makocha’ weusi Ulaya
Kiungo wa zamani wa ‘klabu’ za Manchester City na Barcelona, Yaya Toure atamani kuona ongezeko la ‘makocha’ weusi Ulaya. Akizungumza na BBC, Toure ames...
05
Mashabiki wamjia juu ‘Kocha’ kwa kumcheza Saka akiwa majeruhi
Inadaiwa kuwa mashabiki wa ‘klabu’ ya Arsenal wamemjia juu ‘kocha’ wa ‘timu’ hiyo Mikel Arteta...
01
Kocha wa Al Merreikh aifananisha Yanga na Vilabu ya Ulaya
‘Kocha’ wa 'klabu' ya Al Merreikh, OsamaNabih amesema ‘klabu’ ya Yanga SC inacheza kama 'vilabu' vikubwa vya Ulaya na kubainisha kuwa hatashangaa &lsqu...
13
Sababu ya Apple kubadili mfumo wa ‘chaji’
Baada ya kampuni ya Apple kuzindua toleo jipya la Iphone 15 na kueleza kuwa simu hiyo haitatumia tena ‘chaji’ iliyozoeleka katika simu hizo na baada yake Iphone hi...

Latest Post