Usiku wa Tuzo za Tanzania Comedy Award uliofanyika katika Ukumbi wa The Super Dome, Masaki, Februari 22, 2025. Umejaa hisia tofauti kwani washindi walisherehekea mafanikio yao...
Zanzibar. Mwanamuziki mwenye asili ya Congo, Christian Bella, leo Februari 16,2025, amesema viongozi wa Afrika wanatakiwa kushikamana ili kulinda amani.Bella ameyasema hayo wa...
Mahakama ya rufaa ya shirikisho nchini Marekani, imeunga mkono hukumu ya R. Kelly ya kifungo cha miaka 30 jela iliyotokana na kesi zilizokuwa zikimkabili za biashara ya usafir...
Ikiwa wiki inaenda kukatika huku hatma ya rapa Diddy ikiwa bado haijajulikana mwanamuiziki huyo amewekwa chini ya uangalizi ili asijiue.Kwa mujibu wa tovuti ya People imeeleza...
Mwonekano mpya wa mwigizaji na nyota wa WWE, Dave Bautista umewapa wasiwasi mashabiki, baada ya picha yake kusambaa mitandaoni ikumuonesha amepungua (amekuwa mwembamba) kuliko...
Mwanamuziki wa Dansi nchini Charles Gabriel Mbwana 'Chaz Baba' amefunguka kuwa jina analotumia sasa ambalo watu wanalitambua alipewa na aliyewahi kuwa mwanamuziki nyota wa dan...
Ikiwa imepita siku moja tangu mwigizaji kutoka nchini Salim Ahmedy ‘Gabo Zigamba’ kuchapisha picha kupitia ukurasa wake wa Instagram ikionesha filamu yake ya &lsqu...
Baada ya mwigizaji mkongwe na aliyewahi kuwa Miss Tanzania mwaka 2006, Wema Sepetu kufika nchini Korea kwa ajili ya ziara ya mafunzo kuhusiana na mswala mazima ya tasnia ya ui...
Ikiwa ni mwendelezo wa historia ya mwanamuziki mkongwe wa Bongo Fleva nchini, Rehema Chalamila maarufu Ray C kuhusu maisha yake, sasa ameeleza chanzo cha anguko lake lililopel...
‘Klabu’ ya Al-Hilal ipo kwenye mipango ya kumnunua winga wa klabu ya #ManchesterUnited, raia wa Argentina #AlejandroGarnacho, ambaye kwa sasa yupo katika mashindan...
Mchezaji wa ‘klabu’ ya #ManchesterUnited, #PhilFoden amezua wasiwasi kwa mashabiki wa Egland baada ya kurudi Uingereza kwa ajili ya kumuona mpenzi wake ambaye anat...
Mwanamuziki kutoka Marekani, Ashley Parrish, ‘Kehlani’, ameweka wazi kuwa alipata hasara kwa kupoteza fursa za mikataba baada ya kutoa msaada kwa watu wa Palestina...
Mke wa wa mtangazi wa ‘The Repair Shop’ kutoka nchini Ungereza #JayBlades, #LisaMarieZbozen amepanga kudai talaka haraka baada ya kuona hakuna njia yeyote ya kuend...
Staa wa Ufaransa na Real Madrid, Kylian Mbappe anaweza kukosa ‘mechi’ zilizosalia za michuano ya Euro 2024, baada ya kufanyiwa upasuaji wa pua utakaomweka nje kwa ...