Mwanamuziki kutoka nchini Marekani, #KanyeWest ameomba msaada kwa aliyekuwa mke wake #KimKardashian baada ya kutokuwa na maelewana na kampuni ya Adidas.
Imeripotiwa kuwa msani...
Mwaka 2023, sekta ya sanaa na burudani iliongoza kwa kuwa na ukuaji wa asilimia 17.7.
Hayo yamo katika taarifa ya hali ya uchumi wa Taifa kwa mwaka 2023 iliyowasilishwa bungen...
Kiwango cha maambukizi ya ugonjwa wa Ukimwi mkoani Mara kimeongezeka kutoka asilimia 3.6 miaka mitano iliyopita hadi kufika asilimia 5 mwaka jana.
Hali hiyo inatokana na sabab...
Mamia ya watu waliandamana nchini Morocco siku ya Jumapili katika mji mkuu wa kiuchumi Casablanca kupinga kupanda kwa gharama za maisha katika taifa hilo na kutaka hatua zichu...
Katibu Mkuu wa Chama Tawala nchini Afrika Kusini kiitwacho African National Congress (ANC), Fikile Mbalula ametaja sababu kubwa ya nchi hiyo uchumi kuwa mbaya ni kukatika kwa ...
Mkurugenzi mkuu wa baraza la Taifa la uhifadhi na usimamizi wa mazingira (NEMC) Dkt. Samuel Gwamaka ameeleza kuwa uamuzi wakufungua baadhi ya baa ambazo zilizo fungwa siku cha...
Mkuu wa Benki Kuu nchini Ulaya, Christine Lagarde amesema, uchumi wa kanda ya Ulaya utakuwa bora zaidi mwaka huu kinyume na ilivyohofiwa awali.
Lagarde ameyasema haya huko Dav...
Rais wa Kenya amemshutumu Mtangulizi wake,Uhuru Kenyatta kwa kusababisha mzozo wa Kiuchumi na Kiusalama uliopelekea ahitaji muda kurekebisha, huku akianzisha m...
Hahahahah! Make hapa kwanza ncheke hii ingekuwa katika serikali yetu ninavyo wajua watu wangelala bar, moja ya taarifa zilizozua taharuki ni nchi ya japan inahamasisha vijana ...
Tatizo la vijana wengi nchini kuchagua kazi na kukaa vijiwani limekuwa likigonga vichwa vya habari licha ya serikali pamoja na wadau wengine wa maendeleo kupambana ili kutokom...