Mwanamitindo kutoka Uingereza, Naomi Campbell amepigwa marufuku kuwa mdhamini mkuu wa Shirika la misaada la ‘Fashion For Releaf’ baada ya kugundulika kuwa amekuwa ...
Wengi wanadhani kuwa watumiaji wa iPhone ni watu wenye fedha na elimu. Licha ya dhana hizo utafiti uliofanyika China ulibaini kuwa mawazo hayo ni tofauti na uhalisia.Utafiti h...
Mwendelezo wa filamu maarufu ya ‘28 Days Later’ inayotarajiwa kutoka mwaka 2025 imeripotiwa kurekodiwa kwa kutumia simu ya Iphone 15 jambo ambalo limefanya mashabi...
Kutokana na maendeleo ya teknolojia ulimwengu unaendelea kufurahia kazi za Charlie Chaplin, msanii maarufu wa vichekesho aliyezaliwa Aprili 16, 1889 London, Uingereza, alijuli...
Mgombea wa kiti cha urais nchini Marekani Donald Trump ameripotiwa kutumia picha ya Taylor Swift iliyotengenezwa na akili bandia kuhimiza watu kumuunga mkono katika uchaguzi u...
Waswahili wanasema ‘Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya firauni’ msemo huu unatupeleka moja kwa moja kwa mwanamama Hetty Green, mwanamke ambaye ameishi akivaa nguo ya...
Timu ya mwanamuziki Celine Dion imeoneshwa kukerwa na mgomea wa Rais wa Marekani, Donald Trump kwa kutumia moja ya wimbo wa msanii huyo kwenye kampeni iliyofanyika jijini Mont...
Timu ya wanasayansi kutoka Chuo Kikuu cha Macquarie cha Australia wameanza harakati kukabiliana na janga la taka duniani ambapo wameamua kuunda Nzi kwa kutumia kinyesi mwenye ...
Na Aisha Lungato
Maendeleo makubwa katika masuala ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama) imeenda kubadilisha nyanja mbalimbali ya maisha yetu ikiwemo namna tunavyowas...
Mwanamuziki wa Nigeria, #Portable, amemtolea povu mkali wa Afrobeat Davido kwa kudai kuwa msanii huyo alimtumia vibaya kwa ajili ya kutafuta umaarufu na kumuacha bila msaada w...
Mmiliki wa mtandao wa X zamani (Twitter) #ElonMusk amepinga kampuni ya Apple kutumia mfumo wa akili bandia (AI) kwenye iPhone na vifaa vyingine.
Musk ameweka wazi kuwa hakubal...