Ni ukweli usiopingika Yammi ambaye ni first born wa lebo ya The African Princess ya kwake Nandy ni mmoja kati ya wasanii wa kike Bongo wanaofanya vizuri tangu alipotambulishwa...
Baada ya kutamba kwa zaidi ya miaka 10 ya ma-DJ wa kutafsiri filamu za kigeni na kulitikisa soko kwa aina yake, sasa baadhi yao wanakili kuwa soko la uuzwaji wa filamu hizo li...
Moja ya biashara ambayo imekuwa na mafanikio makubwa kama utaweka jitihada na nguvu katika kujifunza ni sanaa. Kutokana na hilo, sekta hii imekuwa ikikimbiliwa na vijana wengi...
Ikiwa ni miaka miwili imepita tangu ‘rapa’ Kanye West kutoka nchini Marekani kununua nyumba iliyopo ufukweni jijini Califonia, sasa imeripotiwa kuwa nyumba hiyo ik...
Kadi zenye alama ya vidole vya waliokuwa wasanii wa muziki wa hip-hop marehemu Tupac na Biggie walizosaini baada ya kukamatwa kwao zaingizwa sokono. Alama hizo zinauzwa na Waf...
Mwanamuziki kutoka nchini Marekani, #NickiMinaj amesogeza mbele tarehe ya kutoa albumu yake ya ‘Pink Friday 2’ kutoka Novemba 17 hadi Disemba 8 mwaka huu ambayo it...
Microphone aliyorusha Cardi B kwa lengo la kumpiga shabiki yaingizwa sokoni kupigwa mnada kwa gharama ya juu.
Tarehe 29 wakati Card B aki-perform kwenye onyesho Las Vegas, sha...
Ikiwa zimepita siku chache baada ya mtandao wa Twitter kufanyiwa mabadiliko kwenye upande wa Logo yake kutokana na mmliki mpya wa mtandao huo Elon Musk kutaka kuanza upya kwa ...
Whats good, whats good wanangu wa faida, Kama kawaida haina kupoa wala kuboa. Kwenye segment yetu ya UniCorner, tunakusogezea story zinahusu maisha ya vyuoni ili kuweza kujifu...
Mahakama kuu nchini Malawi imeamuru mamlaka ya elimu kuwapokea wanafunzi waliosokota rasta katika shule za umma kote nchini.
Mahakama hiyo, iliyoko mashariki mwa jiji la Zomba...
Na Habiba Mohammed
Whats good, whats good wanangu wa faida. Kama kawaida haina kupoa wala kuboa. Kwenye segment yetu ya UniCorner, tunakusogezea story zinahusu maisha ya vyuon...