08
Miaka 15 Ijayo Wasanii Watafanya Remix Ya Nyimbo Gani
Kila ninaposikia nyimbo za wasanii wa zamani zikirudiwa sasa kitu cha kwanza kuja kichwani kwangu ni swali la “Wasanii wa miaka 10, 15 ijayo watafanya remix ya nyimbo ga...
08
WCB ya Diamond inachemka hapa
Lebo ya muziki nchini, Wasafi Classic Baby (WCB) inatajwa kama moja ya lebo kubwa Barani Afrika. Hasa ikiwa imetoa wasanii wakubwa kama vile Harmonize, Rayvanny, Zuchu, D Voic...
08
Shah Rukh Khan Awajibu Wanaomkosoa Kisa Met Gala
Baada ya kupokea ukosoaji mkubwa kutoka kwa mashabiki na wadau mbalimbali katika mitandao ya kijamii kuhusiana na vazi alilolivaa kwenye ‘Met Gala 2025’, mwigizaji...
08
Ugomvi wa Marioo unanunulika
Mitandaoni kunakuwa na mijadala ya watu maarufu wasiochukiwa. Katika soka anatajwa mtu kama N'golo Kante kwamba hata uwe na chuki vipi huwezi kumchukia, hana makuu, hana ...
07
Michael B. Jordan Hatotoa Ushahidi Kesi Ya Diddy
Mwigizaji kutoka Marekani ambaye amekuwa akihusishwa kwenye kesi za Diddy, Michael B. Jordan ameripotiwa kuwa hatotoa ushahidi katika kesi hiyo ya usafirishaji wa binadamu kwa...
07
Muziki wa singeli mbioni kuwa sehemu ya Urithi wa Dunia.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Palamagamba Kabudi amesema muziki wa singeli upo mbioni kutangazwa rasmi kuwa sehemu ya Orodha ya Urithi wa Dunia.Kabudi ameyase...
07
Kabudi: Migogoro ya wasanii imepungua
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Palamagamba Kabudi leo Mei 7,2025 akiwa bungeni jijini Dodoma amesema kwa mwaka 2024/25 migogoro ya wasanii imepungua.Waziri Kab...
07
Basata kuja na suluhisho kupunguza migogoro ya wasanii
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limetangaza kuwa lipo mbioni kuanzisha muundo wa mikataba ya kazi za muziki, ambao unalenga kupunguza changamoto zinazoikumba sekta hiyo nchi...
06
Aliyojiri Kesi Ya Diddy
Kati ya kesi iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu ni ya rapa kutoka Marekani Sean “Diddy” Combs ambapo mapema jana Mei 5,2025 kesi hiyo ilisikilizwa huku Diddy akikana m...
06
Ni Kweli Kapendeza Kuliko Wote Kwenye Met Gala
Diljit Dosanjh mwanamuziki na mwigizaji kutoka Punjab, naye alihudhuria kwa mara ya kwanza katika Met Gala 2025, huku vazi lake likitajwa kuwa vazi bora kuwahi kutokea katika ...
06
Rangi nyeusi yatawala Met Gala 2025, heshima kwa watu weusi
Met Gala (Metropolitan Museum of Art Costume Institute Gala) ni tukio la kifahari la kila mwaka linalofanyika jijini New York, Marekani, kwa lengo la kukusanya fedha kwa ajili...
06
Rihanna Afichua Ujauzito Wake Katika Met Gala 2025
Kama ilivyo desturi kwa mwanamuziki nyota kutoka Barbados anayeishi Marekani, Rihanna ameendelea kutumia matukio maalumu kufichua ujauzito wake. Safari hii, ameonesha ujauzito...
05
Kajala na Harmonize kama Ne-Yo na Crystal
Baada ya kuachana kwa maneno makali kwenye mitandao ya kijamii hatimaye Kajala na Harmonize, wameuacha umma kwenye mshangao baada ya kuonekana katika ukaribu unaodhaniwa kuwa ...
05
Mastaa watatoka vipi leo, Met Gala 2025!
Zimesalia saa chache, dunia kushuhudia tukio kubwa la mitindo  'Met Gala' linalotarajiwa kufanyika leo Mei 5, 2025 katika jumba la makumbusho Metropolitan Museu...

Latest Post