29
Mfahamu kikongwe anayetibu na kusafisha macho kwa ulimi
Na Asma Hamis Wakati baadhi ya watu wakienda kwenye vituo vya huduma za afya kupatiwa matibabu ya macho pale yanapopata matatizo, hiyo ni tofauti katika kijiji cha Crnjev...
04
Hivi hapa vipengele vya wanaowania tuzo za TMA
Ikiwa jana Septemba 3, 2024 dirisha la kuwapigia kura wasanii watakaowania Tuzo za Muziki Tanzania (TMA) lilifunguliwa, hivi ndivyo vipengele 17 vinavyoshindaniwa ambavyo vime...
20
Tems: Ukinichumbia jua umepata ua adimu
Msanii Tems amejipa maua yake kwa kudai kuwa mwanaume atakaye mchumbia au kuwa naye katika mahusiano basi atakuwa amepata ua adimu. Mwanamuziki huyo aliyasema hayo wakati akio...
18
Mbappe avunjika pua, Hatarini kukosa mechi zilizosalia
Staa wa Ufaransa na Real Madrid, Kylian Mbappe anaweza kukosa ‘mechi’ zilizosalia za michuano ya Euro 2024, baada ya kufanyiwa upasuaji wa pua utakaomweka nje kwa ...
17
‘Calm Down’ ya Rema bado haijaisha makali
Wimbo wa mwanamuziki kutoka nchini Nigeria #Rema ‘Calm Down’ umeweka historia ya kuwa wimbo wa kwanza wa Afrika kuingiza bilioni 1 zinazohitajika nchini Marekani. ...
17
Utafiti: Kuwa na dada kunakufanya uwe na afya njema
Kwa mujibu wa utafiti uliyofanya na Chuo Kikuu cha Brigham Young ambao uliandikwa katika Jarida la Saikolojia ya Familia lilieleza kuwa, kuwa na Dada kunaweza kukufanya uwe na...
24
Harmonize kusaini wasanii wawili mwaka huu
Mwanamuziki na mmiliki wa ‘lebo’ ya #Kondegang, Harmonize ameahidi ku-saini wasanii wawili mwaka huu katika ‘lebo’ yake hiyo.  Harmonize kupitia u...
10
Lava Lava atoa shukrani kwa wasanii nje ya wasafi
Mwanamuziki wa bongo fleva nchini Lava Lava ametoa shukrani kwa baadhi ya wasanii ambao wamemtafuta na kumpongeza baada ya kuachia ngoma zake mbili.Lava Lava kupitia ukurasa w...
06
Utafiti: Kufunga kunafanya watu wawe na afya njema
Utafiti uliofanywa na Chuo cha Cambridge umeeleza kuwa kufunga mara kwa mara kunawaongezea binadamu uzalishaji wa mafuta muhimu na kusababisha kuwa na afya njema na kupunguza ...
24
Tsimikas bado sana nje ya uwanja
Meneja wa ‘klabu’ ya #Liverpool, #JurgenKlopp amethibitisha kuwa beki wao #KostasTsimikas atakuwa nje ya uwanja kwa muda mrefu baada ya kugongwa kwenye bega na win...
24
Aswekwa rumande akijaribu kumuua mbwa
Mwanaume aliyefahamika kwa jina la Anthony Bellman  mwenye umri wa miaka 55 kutoka nchini Marekani ameswekwa rumande kwa kujaribu kumuua mbwa Inaelezwa kuwa polisi walimf...
06
Mlinda mlango wa Barcelona kufanyiwa upasuaji
‘Goli kipa’ wa ‘klabu’ ya #Barcelona, #MarcStegen anadaiwa kutoonekana kikosini kwa takribani miezi miwili, kwani anatarajia kufanyiwa upasuaji wa jera...
27
Haikuwa show, Ni watu nje ya hotel aliyokuwa amelala MJ
Hawa si watu waliojitokeza kwenye show, bali video hii ya miaka mingi iliyopita inaonesha watu wakiwa wamejaa nje ya chumba cha hotel alichokuwa amelala mfalme wa pop Michael ...
15
Marufuku kutumia TikTok
Serikali ya Nepal imepiga marufuku matumizi ya mtandao wa kijamii wa TikTok kutokana na tuhuma za kuwa inavuruga maelewano ya kijamii huku zaidi ya kesi 1,600 za uhalifu wa mi...

Latest Post