Mwanaume wa kwanza kupandikizwa figo ya nguruwe nchini Marekani aitwaye Richard Slayman (62) ameruhusiwa kutoka hospitali, baada ya kufanyiwa upasuaji wiki mbili zilizopita ka...
Baada ya mtu wa kwanza kufanyiwa upasuaji wa kupandikizwa moyo wa nguruwe mwaka jana na ‘timu’ ya madaktari kutoka Chuo Kikuu Maryland kufariki miezi miwili baada ...
Mipango inaendelea ya kuwezesha shule kujumuisha nyama ya nguruwe katika ratiba ya chakula nchini Rwanda kama njia ya kutokomeza utapiamlo.
Olivier Kamana, Katibu Mkuu wa Wiza...
Huko Hong Kong, mfanyakazi wa kichinjio amefariki alipokuwa akijaribu kuua nguruwe, shirika la habari la CNN na The Mirror imesema.
Mchinjaji mwenye umri wa miaka 61 alimshtua...
Kijana mmoja alietambulika kwa jina la Paulo mapunda mkazi wa kijiji cha kipingu Wilaya ya Ludewa Mkoani Njombe anasurika kifo baada kukatwa mguu wake wa kulia na Mamba wakati...
Alooooooh! Wale wapenzi wa hii kitu kama nawaona mnavyo kwazika maana kuna baadhi ya watu hawawezi kulala bila kula nyama ya kitimoto taarifa zilizo tufikia ni kwamba.
H...
NYAMA ya nguruwe maarufu 'Kitimoto' imekuwa ikipendwa sana na watu wa mijini na vijijini licha ya kwamba bei yake ni ghali kuliko ya ng’ombe.
Kwenye baa mbalimbali za ji...