Mkongwe wa muziki wa dansi nchini, Khalid Chuma 'Chokoraa' amesema, ndani ya muziki huo kuna unafiki mwingi kitu kinachokwamisha kuwapo kwa ushirikiano wa kuupeleka mbele zaid...
Kila ifikapo tarehe ya leo Mei 11, ulimwengu unaadhimisha siku ya kula unachokitaka duniani.Kwa mujibu wa tovuti ya ‘National Day Calendar’ imeeleza namna siku hii...
Wafanya utafiti wa anga kutoka Marekani The National Aeronautics and Space Administration (NASA) wametangaza mipango ya kujenga reli kwenye mwezi ifikapo mwaka 2030.Mradi huo,...
Baada ya kukopa mkopo kwa ajili ya kununulia migahawa miwili ya Popeyes Chicken na kushindwa kulipa deni, sasa mwanamuziki Chris Brown ametakiwa kulipa deni hilo na mahakama j...
Shirika la Exit International kutoka nchini Marekani ambalo lipo chini ya Dk. Philip Nitschke, maarufu kama ‘Dr. Death’ limevumbua sanduku maalumu la kujiua liitwa...
Baada ya kuzuka tetesi kuhusiana na msanii kutoka chini Nigeria kudaiwa kuwa na ujauzito wa Future, hatimaye ameendelea kuwaziba midomo na kukanusha uvumi huo baada ya k...
Wakati wasanii wa #BongoFleva wakiendelea kukiwasha katika sekta yao huku watoto wa uswazi wazee wa singeli wakiendelea kupambana ili kuufikishe muziki wa singeli kimataifa.
M...
Aliyewahi kuwa miss Tanzania 2005 #NancySumari, ameweka wazi kumaliza masomo yake nchini London.
Nancy amehitimu masters ya Education Economics and International Development, ...
Mchungaji kutoka Nigeria na mwanzilishi wa #ShekinahArenaGospel Ministry International, #Agochukwu, amempa mwanamke mjane sadaka zote za waumini kama zawadi.
Mtumishi huyo ame...
Mkali wa Afrobeat kutoka Nigeria, Burna Boy usiku wa kuamkia leo Juni 26 ameshinda tuzo ya BET Best International Act 2023 ikiwa ni mara yake ya nne. Tuzo hiyo ambayo ni ya n...
Sakata la Mchungaji Paul Mackenzie raia wa Kenya limechukua sura mpya baada ya Waziri wa Usalama wa ndani nchini humo, Kithure Kindiki kusema kuwa hatoachiwa huru na bada...
Mahakama kutoka nchini Eswatini imewakuta wabunge wawili na hatia ya mauaji na ugaidi kwa jukumu lao katika wimbi la maandamano yaliyoikumba nchi hiyo mwaka 2021.
Mduduzi Bace...