Juisi ya beetroot ni nzuri kwa moyo wako ikiwa na faida zaidi ya moja. Antioxidants, vitamini, na madini katika juisi ya beet husaidia kupunguza uvimbe, kuboresha mzunguko wa ...
Wataalamu wa afya wanasema tunda la Tikiti Maji ni chanzo kikuu cha protini, mafuta, nyuzinyuzi, wanga, calcium, phosphorus, chuma, vitamin A, B6, C, Potasium na virutubisho v...
‘Rapa’ kutoka Marekani Meek Mill ameweka wazi kuwa hapo mwanzo alikuwa hajui kabisa kufunga Kamba za viatu lakini alifundishwa na ‘rapa’ tajiri zaidi n...
Usiishi kikondoo bro. Jiunge walau na mtandao mmoja wa kijamii. ‘Kipu in tachi’ na washikaji. Kuna wana toka praymari hamjaonana, utawakuta mitandaoni.Unaweza kupa...
Baadhi ya watu wamekuwa wakiamini kuwa simu ikiingia katika maji ili ikauke na iwe salama inatakiwa kulala usiku mzima katika mchele lakini kampuni ya simu Apple imetoa taarif...
Ukiangalia kwa jicho la kawaida na kufikiria kwa haraka unaweza kudhani ni miyeyusho ya mashabiki kutaka kupita na upepo wa mastaa kwa kuwabambikizia kesi za unyanyasaji...
Kwenye tasnia ya burudani anaye-trend sasa ni DJ Misso Misondo ambaye kwa sasa ‘upepo’ umemgeukia na kila kona unayopita lazima utamsikia,'Umepigaje hapo'. Misso a...
Hellow! i hope mko poa watu wangu wa nguvu, kama kawaida yetu katika segment ya biashara tunakushushia vingi hatari ili na wewe usikae kinyinge.
Katika biashara leo nime...
Watu wengi wamekuwa wakipata changamoto ya kutokumbuka passward (nywila) zao za mitandao ya kijamii au application mbalimbali wanazotumia, wengi changamoto hiyo huwasababishia...
I hope mko good wafuatiliaji wa segment ya kazi, sasa leo niko na kitu serious kidogo, kama tunavyojua kila mtu anatafuta kazi ili afanye hiyo kazi na aweze kupata anachokista...
Hellow! I hope mko good watu wangu wa nguvu, haya sasa tunaamia upande wa pili naona katika suala la interview (usaili) tumemaliza sasa nawaomba wote tuhamie huku.
Yaani natak...
Leo katika Fashion tutaelekeza jinsi gani mama mjamzito atakaweza kuwa na muonekano mzuri katika mavazi na aina ya mavazi anayotakiwa kuvaa katika kipindi hicho.
Baadhi ya wan...
Mwanamuziki Akon ameeleza namna ambavyo wamarekani wenye asili ya kiafrika wanaweza kuwa mamilionea ikiwa tu watawekeza kikamilifu barani Afrika.Akon ameyasema hayo kwenye mah...