Mwanamuziki kutoka Marekani ambaye amekuwa akitamba na nyimbo za Krismasi Mariah Carey atajwa kuingiza mamilioni ya dola kila mwaka kupitia nyimbo zake hizo.Carey hupata maoko...
Mwanamuziki wa Marekani Kendrick Lamar ametajwa kuwa rapa bora wa mwaka 2024.Kupitia mtandao wa kuuza muziki ‘Apple Music’ Lamar ametajwa kuwa ndio rapa mwenye ush...
Baada ya kukutwa na hatia ya makosa matatu ya kuendesha gari bila leseni, akiwa amelewa na kukimbia eneo la tukio baada ya ajali iliyoharibu miundombinu, mshindi wa taji la Mi...
Tarehe kama ya leo mashabiki wa aliyekuwa mwanamuziki nchini Nigeria Ilerioluwa Aloba, 'MohBad', waligubikwa na huzuni baada ya kupokea taarifa ya kifo cha msanii huyu kilicho...
Rapa kutoka nchini Marekani Dream Doll ametumbuiza wimbo wa mwanamuziki wa Bongo Fleva Rayvanny uitwao ‘Shake shake’ nchini Uingereza alipokuwa katika zira yake.
K...
Mwanamuziki wa Bongo Fleva Kayumba Juma ameweka wazi juu ya mwendelezo wa sakata lake alilodai awali kudhulumiwa Sh 7 milioni na Director Elly Mzava, ambaye anafanya kazi na R...
Mfanyabiashara na mkali wa Hip-hop Marekani Diddy Combs ameripotiwa kuuza jumba lake la kifahari lililopo jijini Los Angles kwa dola milioni 70 ikiwa ni sawa na Sh 185.8 bilio...
Klabu ya #ManchesterUnited inajiandaa kusaini nyaraka kwa ajili ya kumtangaza Dan Ashworth kama Mkurugenzi wa Michezo kutoka klabu ya Newcastle United baada ya vilabu hivyo ku...
Bondia wa ngumi za kuliwa kutoka Marekani Ryan Garcia amefungiwa mwaka mmoja kujihusisha na masuala ya ngumi baada ya kuthibitika kutumia dawa iliyopigwa marufuku kabla na baa...
Mchezaji NBA Darius Morris anatajwa kufariki kwa ugonjwa wa moyo, huku matumizi ya dawa za kulevya na pombe yakitajwa kama chanzo, mchunguzi wa afya wa Kaunti ya Los Ang...
Mwaka 2023, sekta ya sanaa na burudani iliongoza kwa kuwa na ukuaji wa asilimia 17.7.
Hayo yamo katika taarifa ya hali ya uchumi wa Taifa kwa mwaka 2023 iliyowasilishwa bungen...
Waswahili husema kuishi kwingi, kuona mengi, pasi na shaka kauli hii inaendana na maajabu ya mti unaotiririsha maji.
Wengi wamezoea kuona miti ikipandwa, ikikua, ikikauka na m...