Mshambuliaji wa ‘klabu’ ya #ManchesterUnited, #MarcusRashford ameripotiwa kuweka wazi mipango yake baada ya kuwepo kwa tetesi za kuondoka katika ‘timu’...
Kiungo mshambuliaji wa Simba, Saido Ntibanzokiza amepewa mkono wa kwaheri baada ya kuwatumikia wekundu hao wa Msimbazi kwa misimu miwili.
Saido ameondoka Simba akiwa ndiye kin...
Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba amesema kuanzia msimu ujao wa Ligi Kuu Bara, viwanja vitakavyotumika kwa michuano hiyo vitafungwa teknolojia inayomsaidia mwamuzi kufanya m...
Mwanasoka wa zamani #JamieCarragher amemtaja kocha wa ‘klabu’ ya #AstonVilla, #UnaiEmery kuwa ndiye kocha bora zaidi katika msimu huu kwenye ‘ligi kuu ya #En...
Imeripotiwa kuwa mshambuliaji wa klabu ya #ManchesterUnited Marcus Rashford, hana mpango wa kutaka kuondoka katika kikosi hicho msimu ujao na amedai kuwa atapinga endapo itato...
Kipa wa zamani wa klabu ya Manchester United, David de Gea mwenye umri wa miaka 33, amerejea kwenye uwanja wa mazoezi kujifua upya baada ya kuwa nje ya uwanja kwa mwaka mmoja....
Mabosi wa klabu ya #ManchesterCity wameanza kutafuta ‘kocha’ mwingine baada ya mkataba wa kocha’ #PepGuardiola kuelekea ukingoni klabuni hapo.
Awali iliripot...
Imeripotiwa kuwa viongozi wa ‘klabu’ ya #PSG wametua nchini Italia kuitafuta saini ya mshambuliaji wa ‘klabu’ ya #InterMilan, #MarcusThuram kuziba peng...
Kiungo wa ‘klabu’ ya #Sunderland, Jobe Samuel Bellingham agombaniwa na ‘vilabu’ kadhaa barani Ulaya ikiwemo #Chelsea na #TottenhamHotspur kwa ajili ya ...
‘Klabu’ ya #PSG wamempa mkataba wa miaka miwili mshambuliaji wao #KylianMbappe ikiwa ni katika njia ya kumzuia asiondoke kwenye dirisha lijalo kujiunga na ‘k...
Bara la Afrika na dunia nzima linasubiri kuona ‘timu’ mbili zitakazoingia kwenye msururu wa mwisho wa Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika #AFCON 2023 huku &lsquo...
Unakumbuka hii mwaka 2019 mama mmoja aitwaye Silvia Grecco kutoka nchini Brazil alijizolea umaarufu baada kamera kumnasa akimsimuli mwanaye mwenye ulemavu wa macho mechi iliyo...