12
Mwaka mmoja tangu Mohbad afariki dunia
Tarehe kama ya leo mashabiki wa aliyekuwa mwanamuziki nchini Nigeria Ilerioluwa Aloba, 'MohBad', waligubikwa na huzuni baada ya kupokea taarifa ya kifo cha msanii huyu kilicho...
02
Baba wa Mohbad: Waliozaa na mwanangu wajitokeze
Baba mzazi wa marehemu mwanamuziki Mohbad, Joseph Aloba ametoa wito kwa wanawake ambao waliwahi kuzaa na Mohbad wajitokeze. Aloba ameyasema hayo kupitia video aliyoichapisha k...
16
Sababu ya kifo cha Mohbad bado ni kizungumkuti
Baada ya kusubiri majibu ya vipimo ya mwili wa mwanamuziki kutoka Nigeria Mohbad kwa miezi nane sasa, Daktari Bingwa wa Uchunguzi wa Kisayansi na Patholojia kutoka Hospitali y...
03
Mke wa Mohbad akanusha kupima DNA kwa siri
Omowunmi Aloba, maarufu Wunmi mke wa marehemu msanii kutoka nchini Nigeria Mohbad amekanusha kufanya vipimo vya siri vya nasaba deoxyribonucleic acid (DNA) kwa mwanaye, Liam M...
31
Aliyekuwa mke wa Mohabad agoma kutoa dna ya mtoto
Aliyekuwa mke wa marehemu #Mohbad, amegoma mtoto wake kupimwa DNA baada ya watu kumshutumu kuwa huwenda mtoto huyo sio wa marehemu Mohbad. Kwa mujibu wa Gossiptv News imeeleza...
22
Dk Richard aeleza uchunguzi wa maiti ya Mohbad
Ikiwa imepita miezi sita sasa tangu mwili wa marehemu mwanamuziki wa Nigeria, Mohbad kufukuliwa, sasa imeripotiwa kuwa matokeo ya uchunguzi wa maiti hiyo yatakuwa tayari wiki ...
13
Primeboy akamatwa tena, kisa kifo cha Mohbad
Rafiki wa karibu wa marehemu mwanamuziki Mohbad kutoka nchini Nigeria, Primeboy, amekamatwa tena na polisi baada ya kutajwa kuhusiaka katika kifo cha Mohbad.Kwa mujibu wa vyom...
11
Baba yake Mohbad adai kutishiwa maisha na mkwewe
Baba wa marehemu mwanamuziki Mohbad kutoka nchini Nigeria kupitia mahojiano yake ya hivi karibuni ameeleza kuwa aliyekuwa mke wa Mohbad, Wunmi na wakili wake wanatishia kumuua...
29
Naira atinga instagram kwa mara ya kwanza tangu aachiwe huru
  Mwanamuziki kuutoka nchini #Nigeria #NairaMarley kwa mara ya kwanza ame-post kwenye ukurasa wake wa Instagram tangu atoke mikononi mwa polisi.  Naira alikuwa akika...
26
Asake amkumbuka MohBad
Mwanamuziki kutoka nchini #Nigeria #Asake, ameibua hisia kwa mashabiki katika tamasha lake baada ya kutanguliza video na picha mbalimbali za marehemu #Mohbad aliyefariki Septe...
14
Naira amgeuzia kibao muigizaji iyabo kisa kifo cha Mohbad
Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria #NairaMarley ametishia kumshtaki muigizaji kutoka nchini humo #IyaboOjo kwa madai ya kumchafua kwa kuchapisha habari za uongo kipindi akikabi...
18
Naira Marley na sam waachiwa, kifo cha Mohbad
Jeshi la polisi Logos nchini Nigeria limewaachia huru mwanamuziki Naira Marley na promoter wa muziki Sam Larry, baada ya kutimiza masharti ya dhamana ya Naira milioni 20 ambay...
19
Mtoto wa MohBad kupimwa DNA, Kujua baba halali
Baada ya kuzuka sintofahamu kuhusu baba halisi wa mtoto wa marehemu Mohbad, wengine wakidai kuwa ni mtoto wa promota Sam Larry, baba mzazi wa Mohbad ametaka mtoto huyo kupimwa...
05
Aliyedaiwa kumpiga Mohbad ajisalimisha kituo cha polisi
Baada ya ‘polisi’ kutoa tangazo la donge nono kwa atakaye mpata aliyekuwa rafiki wa karibu wa MohBad, Prime Boy hatimaye kijana huyo amejisalimisha mwenyewe kwa je...

Latest Post