05
Picha ya chris Brown na Kehlani yazua gumzo mitandaoni
Mwanamuziki Chris Brown na msanii mwenzie Kehlan wamezua gumzo mitandaoni baada ya kuposti picha wakiwa pamoja ambayo ilitafsiriwa vibaya na mashabiki.Kupitia ukurasa wa Insta...
13
Maokoto yanavyowafanya wasanii wa vichekesho kukimbilia YouTube
Siku za hivi karibuni huwenda mambo ni rahisi kwa wasanii wa vichekesho baada kuyakimbiza maudhui yako katika mitandao ya kijamii kama YouTube tofauti na ilivyokuwa zamani. Ak...
01
Savanna: Familia yangu iligoma kunihudumia kisa mitandao
Na Aisha Charles Katika kutafuta njia ya kupambania ndoto zako ukiwa chini ya uangalizi wa wazazi hasa ukiwa unawategemea kwa kila kitu lazima kutakuwa na mashaka, mzazi au ml...
27
Faida na hasara za biashara mtandaoni
Na Aisha Lungato Maendeleo makubwa katika masuala ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama) imeenda kubadilisha nyanja mbalimbali ya maisha yetu ikiwemo namna tunavyowas...
22
Cardi B atunukiwa tuzo ya muhamasishaji bora mitandaoni
Mwanamuziki kutoka Marekani Card B ametunukiwa tuzo ya muhamasishaji bora mitandaoni katika usiku wa tuzo za ‘Hollywood Unlocked Impact Awards’ zilizotolewa siku y...
16
Kajala: Maisha ni yangu mazishi ya kwenu
Mwigizaji wa Bongo movie #KajalaMasanja amewatolea povu watu wanaofuatilia na kutaka kumuharibia jina lake amedai kuwa maisha ni yake ila mazishi ni yao. Kajala ameyasema hayo...
15
Wanandoa waliopishana miaka 37 watarajia kupata mtoto
Wandoa waliyopishana miaka 37 kutoka nchini Marekani Cheryl McGregor (63) na mume wake Quran McCain (26) wamezua gumzo mitandaoni baada ya kudai kuwa wanatarajia kupata mtoto ...
07
Japan yazindua intaneti ya 6G
Makampuni ya mawasiliano ya simu nchini Japan, DOCOMO, NTT Corporation, NEC Corporation, na Fujitsu yamezindua kifaa cha kwanza cha 6G dunaini ambacho hutoa kasi ya utumiaji d...
06
Simba inaongoza kwa wafuasi wengi mitandaoni
Klabu ya Simba ndiyo yenye wafuasi wengi kwenye mitandao ya kijamii kwa upande wa Afrika Mashariki. Timu hiyo inakaribia wafuasi milioni 11, kupitia kurasa zake za mitandao ya...
30
Rihanna: Nitavaa kawaida sana kwenye Met Gala
Ikiwa zimebaki siku chache tuu kuelekea tamasha la mitindo duniani lijulikanalo lijulikanalo kwa jina la ‘Met Gala’ mwanamuziki Rihanna amedai kuwa mwaka huu atava...
29
Chris brown aifanyia fitina show ya Quavo
‘Rapa’ kutoka nchini Marekani Chris Brown amedaiwa  kuwa alinunua viti vyote vya mbele kwenye moja ya show ya hasimu wake Quavo ili msanii huyo aonekane hajaj...
25
Huwenda Ne-Yo yakamkuta ya Diddy
Mama watoto wa mwanamuziki kutoka nchini Marekani, Ne-Yo anayefahamika kwa jina la Big Sade amemfananisha msanii huyo na Diddy kwa kumuita 'Diddy Junior'. Kwa mujibu wa Tmz Ne...
21
Utafiti: Wanandoa wasiotumia mitandao ndio wenye furaha zaidi
Kwa mujibu wa utafiti uliyofanywa na Chuo Kikuu cha Kansas unaeleza kuwa wanandoa ambao hawajihusishi sana na mitandao ya kijamii huwa na furaha zaidi kuliko wanaojihusisha na...
18
Aingia na maiti benki ili apate mkopo
Mwanamke mmoja kutoka nchini Brazil aitwaye, Érika de Souza Vieira ameshikiliwa na polisi baada ya kupeleka maiti ya mjomba wake Paulo Roberto Braga (68) benki ili kwen...

Latest Post