07
Pyramids yambwaga Pachecco
Aliyekuwa ‘kocha’ mkuu wa ‘klabu’ ya #PyramidsFC kutoka nchini #Misri, #JaimePachecco amefukuzwa kazi kama ‘kocha’ mkuu klabuni hapo kutoka...
03
Mbwa alamba dili kampuni ya magari
Mbwa mmoja aliyetambulika kwa jina la #TucsonPrime, ambaye hakuwa na makazi maalumu amepata ‘dili’ la kuwa mfanyakazi katika kampuni ya kuuza magari ya #Hyundai il...
31
Awanyima watoto urithi, Awapa Mbwa na Paka
Mwanamke mmoja aitwaye #Liu kutoka Shanghai nchini China ameamua kuwanyima urithi watoto wake na kuwapatia wanyama wake Mbwa na Paka utajiri wake wa dola milioni 2.8 ambayo ni...
17
Mbwa aliyeshika rekodi ya dunia kuchunguzwa
Rekodi ya dunia ya ‘Guinness World Records’ imesitisha taji la mbwa kutoka nchini Ureno aliyetambulika kwa jina la Bobi, ambaye alishika rekodi hiyo mwaka jana Feb...
08
Wafahamu Mbwa wasiobweka
Duniani kuna aina nyingi za mbwa, lakini licha ya kuwa na aina hizo wanyama hawa huzoeleka kwa kuwa na mtindo wa kufanana kwenye kubweka. Mfanano huo wa sauti za kubweka unaji...
05
Mbwa atafuna dola 4,000 za mmiliki wake
Mbwa mmoja kutoka Pennsylvania aitwaye Cecil, amezua gumzo baada ya kutafuna bahasha iliyokuwa na hela $4,000 ambazo mmiliki wake alikuwa ameziweka kwa ajili ya kumlipa mkanda...
25
Mbwa huwaona wa miliki wao kama sehemu ya famili yao
Utafiti wa ubongo wa mbwa uliofanya kwa njia ya vipimo vya MRI na Chuo Kikuu cha Emory umebaini kuwa mbwa hunasa haraka harufu ya binadamu kuliko harufu nyingine, hivyo unaone...
24
Aswekwa rumande akijaribu kumuua mbwa
Mwanaume aliyefahamika kwa jina la Anthony Bellman  mwenye umri wa miaka 55 kutoka nchini Marekani ameswekwa rumande kwa kujaribu kumuua mbwa Inaelezwa kuwa polisi walimf...
30
Mashabiki washambulia basi la wachezaji kwa mawe
‘Mechi’ kati ya ‘klabu’ ya #OlympiqueMarseille dhidi ya ‘klabu’ ya #OlympiqueLyon imeghairishwa baada ya basi la Lyon kushambuliwa kwa mawe...
25
Mke wa Justin Beiber hataki kuambiwa mjamzito, Analea mbwa wake kwanza
Mke wa Justin Beiber, Hailey Bieber ambaye ni mwanamitindo achoshwa na maneno ya watu wanaomtuhumu kuwa ni mjamzito na wanaojadili...
05
Mbwa wa Biden afukuzwa Ikulu
Mbwa wa familia ya Rais nchini Marekani, Joe Biden, Commander ametimuliwa Ikulu kwa kutoka na mfululizo wa matukio ya kuwang'ata wafanyakazi wa eneo hilo wakiwemo walinzi wa R...
05
Aliyempata mbwa wa Lady Gaga aambulia patupu
Mwanamuziki maarufu nchini Marekani Lady Gaga hatoruhusiwa tena kumlipa mwanamke ambaye alirudisha mbwa wake baada ya kuibiwa mwaka 2021 ambapo pesa hiyo aliahidi kama zawadi....
29
Mbwa asimamisha mechi baada ya kukimbia na mpira
‘Mechi’ ya mpira wa miguu nchini Mexico ilisimama baada ya mbwa kuingia uwanjani na kukimbia na mpira katika mchezo wa Alebrijes Oaxaca dhidi ya Dorados.Mchezo huo...
29
Atumia zaidi ya Million 49 ili afanani na mbwa
Mwanaume mmoja kutoka nchini Japan alioyefahamika kwa jina la Toco ametumia zaidi dola 20,000 ambazo ni zaidi ya sh 49 milioni za kitanzania ili kuwa na muonekano wa mbwa.Alif...

Latest Post