Kama hukuwahi kuona hii, fahamu kupitia Mwananchi Scoop wakazi wa kijiji cha Shirakawa-go, Wilaya ya Gifu nchini Japan wametengeneza mfumo wa kipekee wa kuzuia moto kuunguza n...
Mwanamuziki kutoka Marekani Chris Brown ameweka wazi kuwa anaposahau mistari ya nyimbo zake akiwa stejini huwa anawaachia mashabiki waimbe.Brown ameyasema hayo kwenye moja ya ...
Mwanamitindo kutoka nchini Marekani Hailey Bieber yuko mbioni kuzindua kava za simu ambazo zitaweza kuwasaidia wanawake wanaopenda kupaka lipstick, kuhifadhi kipodozi hicho ny...
Wapo baadhi ya watumiaji wa mtandao wa WhatsApp wamekuwa wakipata shida kusikiliza Voice Note wanazotumiwa wakiwa mbele za watu kwa kuhofia jumbe zao kusikiwa na watu wa pembe...
Mchezaji kiungo wa ‘klabu’ ya Manchester United, Mason Mount siku ya jana alirejea uwanjani katika mchezo wa Man U dhidi ya Crystal Palace baada ya kukaa nje kwa t...
Ikiwa tumezoea kuona maonyo mbalimbali kwenye chupa za pombe kama vile kunywa kistarabu, au yale ya kwenye sigara yasemayo uvutaji wa sigara ni hatari kwa afya yako, bila kuta...
Baada ya kuwepo na mijadala kuhusu nyimbo nyingi za wasanii nchini kutopenya mataifa mengine licha ya wasanii hao kufanya vizuri Tanzania, #Diamondplatnumz amepanga kuwapa som...
Niajeeeh!!! Another weekend vipenzi vyangu na watu wangu wa nguvu kama ilivyo kawaida yetu ni muhimu kwetu kupitia dondoo za fashion kila wiki kwasababu tunajua mitindo ni mai...
Niaje niaje wafuatiliaji wa Mwananchi Scoop, haya sasa tuendelee tulipo ishia, all in all week iliopita bwana tumefanya biashara haswa tusifichee, wenye kuuza nguo, vyakula, v...
Hellow!! Its another day, kama kawa kama dawa kwenye kipengele chetu pendwa kabisa cha masuala ya fashion hapa ndiyo sehemu ya pekee ya kujidai kwa wote wanaopenda urembo...
Eiwaaaah !!!its Friday day bwana kama kawaida karibu kwenye ukurasa wa fashion, sehemu pekee ambayo inakuongoza vyema kabisa kuhusiana na masuala muonekano wako.
Nikuweke baya...
Ebwana, kwenye makala za kazi wiki hii nimekusogezea jinsi ya kushughulika na wafanyakazi wanaokosa maadili kazini.
Jambo hili huenda likawa sio geni kabisa kwako na haya mamb...
Mambo vipi? Unataka mkwanja wewe? Najua jibu “ndiyo!” kama kawaida mtu na michongo yangu, nakupa fumbo la mkwanja kazi kwako kufumbua kuzipata hizo pesa.
Basi bhan...
Aloooh!! Niaje kijana mwenzangu, bila shaka utakua uko vizuri na unaendelea na majukumu yako ya kila siku, kama unapitia changomoto yoyote, Mungu akawe mfariji wako mkuu.
Kama...