Na Nevumba AbubakarNyota ya msanii chipukizi wa singeli, Dogo Paten inazidi kung'ara kila uchao tangu Zuchu alipomshika mkono.Kwa sasa kila mitaa inapigwa ngoma ya Afande...
Wakati kesi ya mkali wa muziki wa hip hop, Sean "Diddy" Combs ikikalibia kutamatika huku hukumu ikitarajia kutolewa Octoba mwaka huu, sakata jingine limeibuka ambapo mwanaume ...
Mwanamuziki wa Hip Hop nchini Frida Amani ameeleza njia anazozifanya ili kuwa bora katika muziki huo kila siku akitaja kuwa ni kujifunza, kufanya kazi kila siku pamoja na kuwe...
Mwanamuziki nguli kutoka Benin na bara la Afrika kwa ujumla, Angelique Kidjo, ameandika historia kwa kuteuliwa kuwa miongoni mwa wasanii watakaopata nyota katika Hollywood Wal...
Promota wa wasanii wa muziki wa nyimbo za injili nchini Alex Msama na msanii wa nyimbo hizo Smart Boy leo Julai 3,2025 wameshinda tuzo ya EAGMA 'East Afr...
Nyota wa muziki nchini Diamond ameeleza namna anavyotumia muziki wake kupenya kimataifa huku akifunguka kuachia albamu mpya itakayotoka Septemba, iliyosheheni kolabo mbalimbal...
Baada ya jopo la majaji kutoa uamuzi usiokamilika na kuifanya mahakama kuwarudisha tena kujadili kuhusu kesi ya rapa Sean Diddy Combs, hatimaye uamuzi wa kesi hiyo umekamilika...
Mwanamuziki kutoka Marekani Kanye West ambaye kwa sasa anajitambulisha kama ‘Ye Ye’, amezuiliwa rasmi kuingia nchini Australia baada ya serikali kufuta visa yake k...
Majaji ambao wanasimamia maamuzi kwenye kesi ya rapa Sean “Diddy” Combs wameripotiwa kufikia uwamuzi kwenye baadhi ya kesi huku kesi ya kufanya uhalifu wa kupanga ...
Inaelezwa kuwa Mfalme wa muziki wa Pop Michael Jackson, alikuwa si tu mtu aliyegusa mioyo ya watu kupitia muziki wake bali alimpenda Mungu wakati wote.Kabla ya kifo chake Juni...
Wakati wewe ukilalamika watu kutokupigia simu kwa siku mbili au moja na kujiita mpweke kwa upande wa Joyce Carol Vincent, raia wa Uingereza mwenye miaka 38, anatajwa kuwa ndio...
Misimu 16 ilimtosha Sergio Ramos (39), kuitumikia Real Madrid akiwa beki wa kati. Ndoto nyingi kama mchezaji amezitimiza hapa, Santiago Bernabeu ilimpa kila kitu akishinda mat...
Peter Elias, MwananchiDar es Salaam. Je, umewahi kusikia siku ya muziki wa reggae duniani? Basi, siku hiyo ipo, ni leo. Siku hii huadhimishwa Julai Mosi ya kila mwaka ambapo u...
Kesi ya madai inayomkabili mwanamuziki kutoka Marekani, Chris Brown ya kumpiga na chupa mtayarishaji wa muziki Abe Diaw tukio lililotokea jijini London kwenye moja ya klabu ya...