03
Watoto wa Murphy na Martin waunganisha undugu
Wachekeshaji maarufu wa Marekani Martin Lawrence na Eddie Murphy hatimaye wamekuwa familia moja baada ya watoto wao kuchumbiana na wanatarajia kufunga ndoa hivi karibuni.Kupit...
12
Will Smith na Martin Lawrence watoa ushauri kwa wapendanao
Baada ya kukutana na changamoto katika ndoa zao waigizaji Will Smith na Martin Lawrence, wametoa ushauri kwa wanandoa na wapenzi kwa kusisitiza kutendeana mema. Wawili hao wam...
06
Martin Lawrence afichua sababu ya kukataa kuigiza na Jackie Chan
Mwigizaji kutoka Marekani Martin Lawrence amefichua siri kuwa aliwahi kuombwa kuigiza pamoja na mkali wa filamu za mkono Jackie Chan katika filamu ya ‘Rush Hour’ y...
14
Dr. Dre kutunukiwa nyota ya heshima, hollywood walk of fame
Producer na ‘rapa’ kutoka nchini Marekani Dr. Dre anatarajiwa kutunukiwa nyota ya heshima kwenye Hollywood Walk of Fame Machi 19, mwaka huu katika Jengo la Hollywo...
10
Fat Joe asikitika kumkosa Will Smith kwenye tuzo za Bet
Mwanamuziki wa Hip-hop Fat Joe ambaye pia ni Mtangazaji na  Mtayarishaji Mkuu wa Kipindi cha Tuzo za BET Hip Hop, ameeleza alivyoumia baada ya kumkosa Will Smith kwenye j...

Latest Post