14
PSG wa msaka mrithi wa Mbappe
Imeripotiwa kuwa viongozi wa ‘klabu’ ya #PSG wametua nchini Italia kuitafuta saini ya mshambuliaji wa ‘klabu’ ya #InterMilan, #MarcusThuram kuziba peng...
21
Mbappe akubali kujiunga na Real Madrid
Baada ya siku kadhaa nyuma kutangaza kuondoka katika ‘klabu’ ya Paris St-Germain (PSG) mshambuliaji Kylian Mbappe amekubali kujiunga na Real Madrid msimu mpya utak...
18
Man City yashusha presha kwa Haaland
‘Klabu’ #ManchesterCity wana matumaini makubwa ya kuendelea kusalia na ‘straika’ wao #ErlingHaaland kwa muda mrefu zaidi baada ya  ‘klabu&rs...
16
Mbappe atangaza kuondoka psg
Mchezaji wa ‘klabu’ ya Paris Saint-Germain (PSG) Kylian Mbappe ametangaza kuondoka katika ‘timu’ hiyo ifikapo mwezi Julai baada ya mkataba wake kuisha....
28
Kocha wa Barcelona yamemshinda
‘Kocha’ wa ‘klabu’ ya #FCBarcelona, #XaviHernández amedai kuondoka ‘klabuni’ hapo mwishoni mwa msimu huu kutokana na matokeo mabaya ...
08
Mbappe kugeukia upande wa Madrid
Mchezaji wa ‘klabu’ ya #PSG, #KylianMbappe inadaiwa kuwa amefikia makubaliano na ‘klabu’ ya #RealMadrid kujiunga bila malipo msimu ujao. Inaelezwa kuwa...
15
Uwanja wa Real Madrid siyo poa, Unabadilika kama Kinyonga
Real Madrid imeboresha uwanja wao mpya wa Santiago Bernabeu, ambao kwa sasa una uwezo wa kujibadilisha na kutumiwa kwenye michezo ya aina nyingine tofauti na mpira wa miguu. U...
14
Man City yahofiwa kuizuia Madrid kuchukua ubingwa
Meneja wa ‘soka’ kutoka nchini #Italia, #CarloAncelotti aitaja ‘timu’ ya #MachesterCity kuwa ndiyo inaweza kukipa changamoto kikosi chake cha #RealMadr...
07
Kocha wa Nottingham akalia kuti kavu
‘Klabu’ ya #NottinghamForest inadaiwa kuwa ipo mbioni kumfuta kazi mwalimu #SteveCooper kufuatia kipigo cha magoli 5-0 dhidi ya timu ya #Fulham kwenye mchezo wa Li...
19
Kiungo wa Real Madrid abeba tuzo ya Golden Boy
Mchezaji wa ‘klabu’ ya #RealMadrid, #JudeBellingham ameshinda tuzo ya mchezaji bora chipukizi #Ulaya (Golden Boy) mwaka 2023.  Nyota huyo mwenye umri wa miaka...
05
Real Madrid yakanusha kumchukua Mbappe
Baada ya kuibuka kwa tetesi kwamba Real Madrid ilifanya mazungumzo na wawakilishi wa mchezaji wa PSG #KylianMbappe kwa kutaka kumsajili katika dirisha lililopita, ‘mabos...
21
Mtoto wa CR7 kukipiga Al Nassr
Mtoto wa mchezaji kutoka ‘klabu’ ya Al Nassr ya Saudi Arabia, CR7, Cristiano Jr amejiunga na ‘timu’ ya vijana chini ya umri wa miaka 15, katika ‘...
16
Ancelotti: Bado nipo Real Madrid
‘Kocha’ wa  ‘klabu’ ya #RealMadrid, Carlo Ancelotti amekanusha taarifa za yeye kwenda kuitumikia ‘timu’ ya Taifa ya Brazil msimu ujao....
14
Akamatwa na polisi kwa kumshika makalio mwandishi wa habari
Mwanaume mmoja kutoka Madrid anashikiliwa na jeshi la polisi kwa tuhuma za kumdhalilisha mwandishi wa habari wa kike kwa kumshika makalio na kumfanyia ghasia eneo la kazi. &nb...

Latest Post