Usiku wa Tuzo za Tanzania Comedy Award uliofanyika katika Ukumbi wa The Super Dome, Masaki, Februari 22, 2025. Umejaa hisia tofauti kwani washindi walisherehekea mafanikio yao...
Kama ni mfuatiliaji wa muziki wa singeli ambao asili yake ni uswahili. Ni hakika umewahi kusikia wasanii wa muziki huo na mashabiki wakijinadi kuhusu namba. Wapo wanaojitambul...
King Bad, Marioo ametusanua kwamba Video ya wimbo wa ‘Why’ kutoka kwenye album yake ya ‘The Godson’ imeghalimu zaidi ya Sh 56 milioni mpaka kukamilika ...
Baada ya msanii wa singeli nchini Dulla Makabila kupata nafasi ya kuongoza kwa kufanya vizuri kwenye muziki huo. Sasa ametangaza nia yake ya kufungua label ya muziki wa singel...
1. Nguvu ya Mwanga Angalia ikiwa 'ring light' ina uwezo wa kubadili mwangaza. Hii itakuwezesha kudhibiti mwanga kulingana na mazingira yako na mwelekeo wa picha unayotaka. Ngu...
Timu ya wanasheria wa Diddy inaonekana kuelemewa na kesi za shirikisho huku mmoja wa mawakili wake wa utetezi amepanga kujiondoa haraka katika kesi hizo.Kulingana na ‘Th...
Mwanamuziki ambaye anatambulika Kimataifa kupitia wimbo wake wa ‘Komasava’, Diamond ameonekana kutumia show ya Jux kumaliza ugomvi wake na Zuchu.Show hiyo ambayo i...
Marilyn vos Savant (78) mwandishi na mtaalamu wa kujibu maswali kwa ufasaha kutoka Marekani anatajwa kuwa ndiye mwanamke mwenye akili zaidi duniani kutokana na uwezo wake wa k...
Grimes ambaye ni mwanamuziki na mzazi mwenza wa tajiri na mmiliki wa mtandao wa X, Elon Musk, anadai kuwa tajiri huyo hajiuhusishi na mahitaji ya mtoto huku akidai kuwa hapoke...
Mwanamuziki wa marekani T-pain anaripotiwa kuuza katalogi yake ya uchapishaji (mkusanyiko wa nyimbo) pamoja na baadhi ya masters zake za muziki kwenye kampuni ya HarbourView E...
Mwanamuziki Beyonce na mume wake Jay-z ni moja ya watu ambao wametembelea nchi mbalimbali kwa lengo la kutoa msaada huku nchini namba moja ikiwa ni Tanzania ambapo wawili hao ...
Kuvaa mavazi bora na ya heshima katika sehemu za kazi kuna umuhimu mkubwa na kunaleta faida nyingi kwa mfanyakazi na kwa shirika kwa ujumla. Hivyo ni muhimu kama mfanyakazi ku...
Mwanamuziki wa Afrika Kusini, Tyla amekiri kuwa amewahi kujichukia, kutokana na rangi yake kuwa nyeusi huku akitaja sababu ni kutokana na mazingira.Alipokuwa kwenye mahojiano ...
Rapa Jay Z na familia yake wanaripotiwa kupokea vitisho vya kuuawa kutokana na kesi ya ubakaji kwa binti wa miaka 13 anayodaiwa kufanya akiwa na Diddy mwaka 2000.Jay anadai am...