11
Lady Jaydee kutoa msaada wa masomo kwa watu watano
Msanii wa Bongo Fleva Lady Jaydee ametoa nafasi tano za ufadhili wa masomo kwa ngazi ya chuo kwa watu ambao wazazi au walezi wao hawana uwezo wa kumudu gharama za kulipia ada....

Latest Post