26
Lupita Nyong o aunga mkono maandamano Kenya
Mwigizaji kutoka Marekani mwenye asili ya Kenya Lupita Nyongo amelipongeza kundi la vijana la ‘Gen Z’ na wananchi wote nchini humo kwa kuchukua uamuzi wa kuandaman...
13
Serikali kukuza ajira kwa vijana, Sekta ya sanaa na burudani
Serikali imeweka wazi kuwa inampango wa kukuza ajira kwa vijana katika sekta ya michezo, sanaa na burudani. Hayo yamesemwa leo Alhamisi Juni 13, 2024 na Waziri wa Fedha, Dk Mw...
12
Jinsi ya kukuza kope halisi
Na Aisha Charles Mambo vipi watu wangu wa nguvu kwa mara nyingine tunakutana tena katika Fashion kupashana habari za urembo na style mbalimbali zinazokiki mjini katika fashion...
12
Umuhimu wa logo kwenye biashara yako
  Na Aisha Lungato Mamboz! Siyo kila siku tufundishane kupika jamani lazima kubadilika na kuelekezana mambo tofauti ambayo pia yanaweza kukuza biashara yako, leo niko na ...
01
Aweka rekodi ya kuimba kwa saa 31
Ewaoluwa Olatunji, maarufu Ewa Cole, (29) ameweka rekodi ya kuimba muda mrefu nyimbo za Christmas ambapo aliimba kwa saa 31 kuanzia Desemba 27 hadi 28, Lagos nchini Nigeria Ew...
30
Mbinu za kuuza na kupata oda katika biashara yako
Niaje niaje wafuatiliaji wa Mwananchi Scoop, haya sasa tuendelee tulipo ishia, all in all week iliopita bwana tumefanya biashara haswa tusifichee, wenye kuuza nguo, vyakula, v...
08
Maji ya mchele yanavyo weza kukuza nywele zako
Na Asha Charles Hellow niaje watu wangu wa nguvu!!! I hope mko salamaa kama unavyo jua mchaka mchaka wakulisongesha jambo la fashion bado unaendelea yaani siwezi kuliacha nish...
18
Teknolojia inavyoweza kukuza biashara yako
Oooooooooooh! Valentine imeshapita sasa haya turudi katika biashara jamani, kama nawaona wauza maua na cake walivyozikusanya pesa week hii, sio powa yaaani mwendo ndo ule ule ...
07
Njia bora na asili ya kukuza nywele pasipo gharama kubwa
Kwa wale ambao tuna nywele asilia a.k.a natural hair, tayari tunafahamu changamoto kadhaa tunazokumbana nazo. Kwa wale mnaofikiria kuanza kuwa na nywele asilia, karibuni sana ...
18
Vijana kunyweni pombe zaidi ili kukuza uchumi, Japan
Hahahahah! Make hapa kwanza ncheke hii ingekuwa katika serikali yetu ninavyo wajua watu wangelala bar, moja ya taarifa zilizozua taharuki ni nchi ya japan inahamasisha vijana ...
31
Jinsi ya kukuza biashara yako kutumia mtandao wa kijamii
Kadri siku zinavyo kwenda mbele basi na mitandao ya kijamii ndivyo huendelea kukua kwa kasi na kukubalika na watu wa kila rika, hivyo basi leo nimekuja na mbinu za kukuza bias...

Latest Post