06
Daktari adaiwa kumuua mama na kumkuiba mtoto
Daktari kutoka nchini Nigeria aitwaye  #DkHagi anashikiliwa na jeshi la polisi kwa  tuhuma za mauaji ya  mwanamke aliyekuwa  mjamzito baada ya kumfanyia up...
26
Muigizaji Wylie akamatwa kwa wizi
Muigizaji kutoka nchini Marekani, #AdamWylie, anadaiwa kukamatwa na polisi kwa kosa la kuvunja maduka ya Ol Target nchini humo na kuiba bidhaa katika maduka hayo. #BurbankPD &...
25
Mwizi akamatwa baada ya kujifanya mdoli kwenye duka la nguo
Kijana wa Kipoland mwenye umri wa miaka 22 ambaye hajafahamika jina lake anashikiliwa na polisi baada ya kubainika akijifanya mdoli (mannequin) wa kuwekea nguo dukani, kwa len...
26
Ageuka kichekesho akiwakimbia polisi kwa gari la ‘gofu’
Mwanamume mmoja kutoka San Fernando ajikuta akigeuka kichekesho wakati akijaribu kuwakimbia maafisa wa polisi  wakiwa kwenye ...
11
Wezi wavunja na kuiba perfume zanye thamani ya zaidi ya sh 50 milioni
Wezi sita wavunja vioo vya duka la urembo la Macy’s lililopo Northridge, kwa kutumia nyundo na kisha kuiba manukato ya ...
29
Nyota wa Hannah Montana aswekwa ndani, Adaiwa kuiba chipsi
Nyota wa zamani wa 'Hannah Montana',  Mitchel Musso  ambaye alicheza "Oliver Oken" akamatwa Texas kwa tuhuma zinazohusiana na wizi wa mfuko wa chipsi akiwa amelewa. ...
13
Mtoto wa miaka 8 aiba gari kwa kutumia silaha
Mtoto wa miaka nane kutoka Alabama nchini Marekani amekamatwa na Polisi baada ya kuiba gari kwa kutumia bunduki na kuanza kukimbizana na Polisi. Kwa mujibu wa chombo cha habar...
04
Wafikishwa mahakamani kwa madai ya wizi
Wafanyakazi 4 wa kampuni ya JV SPEK LTD inayojenga mradi mkubwa wa bomba la mafuta kutoka Uganda hadi Tanga, Tanzania wamefikishwa mahakama ya hakimu mkazi wilaya ya Igunga Mk...
25
Aiba nguo za ndani za wanawake ili kumzawadia mpenzi wake
Kijana mmoja kutoka nchini Kenya mwenye umri wa miaka 19, aliefahamika kwa jina la Joel Kimurgor anadaiwa kuiba nguo za ndani za wanawake katika kijiji cha Tegeyat kaunti ya N...
07
Wanandoa wahukumiwa miaka minne kwa kuiba mvinyo
Aliyekuwa malkia wa urembo wa Mexico, Priscila Guevara pamoja na mpenzi wake Consantin Dumitru wahukumiwa kifungo cha miaka minne nchini Uhispania kwa kuiba chupa 45 za mvinyo...
04
Jela miaka 35 kwa kuiba na kuuza viungo vya maiti
Mmiliki wa chumba cha kuhifadhia maiti na mama yake wamehukumiwa kifungo cha jumla ya miaka 35 jela baada ya kupasua mamia ya miili na kuuza sehemu za miili bila ridhaa ya fam...
06
Miaka 21 jela kwa kuiba Mbwa
Hii bwana imetokea huko nchini Marekani ambapo Mahakama ya Los Angeles, imemuhukumu James Howard Jackson ( 20) kifungo cha miaka 21 jela kwa kosa la kumjeruhi kwa risasi Ryan ...

Latest Post