Penzi likiwa la masharti linanifanya niwe mento
Penzi lako la mgao utafikiri Tanesco,
Sideti na vivlana nadate na wanaume wanaojitambua zaidi ya Neto,
Mimi sio shirika la misa...
Mwanamuziki kutoka Marekani Alicia Keys, akionesha chumba maalumu ambacho ametunza tuzo zake mbalimbali alizopata kutokana na kazi yake ya muziki.Keys alianza kujihusisha na k...
Uongozi wa #Barcelona tayari umeanza kufanya mazungumzo na ‘klabu’ ya #RBLeipzig kwa ajili ya kumchukua mchezaji wa ‘timu’ hiyo #DaniOlmo.
Kiungo huyo ...
Baada ya vyombo vya habari mbalimbali nchini Marekani kudai kuwa mwanamuziki Diddy amekimbilia katika visiwa vya Caribbean, baada ya kuonekana katika uwanja wa ndege wa Opa-Lo...
Ni wiki kadhaa tuu zimepita tangu ‘rapa’ #RickRoss kuweka wazi kutaka kujenga mjengo chini ya ardhi, na sasa ameendelea kuonesha jeuri ya pesa kwa kubomoa nyumba y...
Baada ya msanii Diamond Platnumz kushinda Tuzo ya MTV EMA 2023 alitembelea katika ofisi za Baraza la Sanaa Taifa (BASATA) na kukabidhiwa muongozo wa maadili katika kazi za San...
‘Klabu’ ya #Simba imekemea vikali na kusikitishwa na tukio ambalo lilisambaa katika mitandao ya kijamii kupitia video ikionesha baada ya mchezo wa Simba Vs Ihefu, ...
Ma-bosi wa ‘klabu’ ya #Yanga wamempa zawadi ya gari mchezaji #MaxiNzengeli mara baada ya ‘kiungo’ huyo kupiga mabao 2-0 dhidi ya Singida Big Stars kwa ...
Cristiano Ronaldo ameendelea kupokea heshima utoka kwa watu na ‘vilabu’ mbalimbali, awamu hii mchezaji wa #RealMadrid, mwenye namba saba mgongoni Vinicius Junior, ...
Na Aisha Lungato
Mambo vipi! Natumai uko powa mtu wangu wa nguvu, ni jumanne na siku kama ya leo tunakuletea makala kuhusu biashara kwa vijana walio vyuoni.
Tunawaangaz...