12
Smith Amkingia Kifua Jay-Z Kuhusu Ubakaji
Rafiki wa muda mrefu wa rapa na mfanyabiashara maarufu Marekani Jay-Z, Stephen A. Smith amemkingia kifua rapa huyo kwa kudai kuwa haamini tuhuma za ubakaji zanazomkabili.Kupit...
06
Cassper Nyovest amkingia Tyla kifua
Masoud Kofii Mkali wa muziki kutokea Afrika Kusini Refiloe Maele 'Cassper Nyovest' ameonesha kutopendezwa na maamuzi yaliofanywa na kamati ya ugawaji wa tuzo za South Afrikcan...
17
Cardi B amkingia kifua Tyla
‘Rapa’ Cardi B amemkingia kifua msanii Tyla, aliyekabiliwa na ukosoaji katika mitandao ya kijamii baada ya tukio alilolifanya katika usiku wa Tuzo za Muziki za MTV...
22
Hakuna kinachodumu duniani
Muziki wa sasa unaisha utamu haraka. Kama ambavyo uhusiano wa sasa unavyoisha haraka kwa wapendanao. Utandawazi umekuja na faida kubwa sambamba na ukubwa wa matatizo. Zari ali...
04
Ozil aingia Gym baada ya kustaafu soka
Baada ya kustaafu ‘soka’ mwaka jana mchezaji #MesutOzil aliyekuwa akikipiga katika ‘timu’ ya taifa ya #Ujerumani na vilabu kama #RealMadrid na #Arsenal...
04
Dj Stivie j aendelea kumkingia kifua Diddy
Baada ya nyaraka za kesi zilizofunguliwa na mtayarishaji Rodney Jones dhidi ya Diddy zikidai kuwa Party zinazofanyika nyumbani kwa Combs zimekuwa zikijikita katika biashara ya...
02
R. Kelly amkingia kifua Diddy
Mwanamuziki mkongwe kutoka nchini Marekani, R. Kelly ambaye anatumikia kifungo cha miaka 31 gerezani kwa makosa ya unyanyasaji wa kingono, amewaonya wale wote ambao wanamdhiha...
17
Kinachoendelea kwa Kapteni aliyedondoka uwanjani
Nahodha wa ‘klabu’ ya #LutonTown, #TomLockyer ambaye alidondoka uwanjani jana kutoka na matatizo ya moyo wakati ‘timu’ yake inacheza dhidi ya ‘ti...
25
Arteta amkingia kifua Raya
‘Kocha’ wa ‘klabu’ ya #Arsenal, Mikel Arteta amtetea ‘goli kipa’ wa ‘timu’ hiyo David Raya baada ya mchambuzi wa ‘timu&rs...
27
Msanii wa Kenya Tenball amjia juu Khaligraph, aikingia kifua Tanzania
Mwanamuziki kutoka nchini Kenya, #Tenball amjia juu msanii mwenzake #Kaligraph kutona na kujiona bora kuliko wasanii wa Tanzania, ...
26
Wole Soyinka amkingia kifua Davido
Baada hivi karibuni mwanamiziki kutoka nchini Nigeria #Davido ku-post video ya wimbo wake mpya ukiwa una mahadhi ya dini ya kiislamu na kupelekea wafuasi wa dini hiyo wamjie j...
16
Wagonjwa 87 wa kifua kikuu hufariki kila siku
Kwa mujibu wa  wizara ya afya na Mratibu wa Kifua Kikuu na Ukoma Jijini Dar es Salaam, Dkt. Mbarouk Seif Khaleif, ameeleza kuwa kila mwaka Watu 137,000 wanaugua Kifua Kik...
30
Dawa nyingine ya kikohozi yaua watoto 18, India
Taarifa kutokea Uzbekistan zinaeleza kuwa dawa ya kikohozi aina ya Doc-1 Max iliyotengenezwa nchini India inahusishwa na vifo vya watoto 18 vilivyotokea hivi karibuni nchini h...
27
Mazoezi ya kukuza kifua bila vifaa vya uzito
Habari kijana wenzangu natumaini u mzima wa afya na unaendelea na majukumu yako ya hapa na pale ya kusoma au kujiingizia kipato kwa lengo la kujikwamua kiuchumi. Hata hivyo le...

Latest Post