18
Ngoma ngumu kwa Diddy, vilainishi nyumbani kwake vyageuka gumzo
Ikiwa ni siku moja imepita tangu mwanamuziki wa hip-hop Marekani Sean 'Diddy' Combs kutiwa nguvuni, ripoti mpya ya kilichokutwa kwenye nyumba zake yatolewa.Kwa mujibu wa waend...
02
Benzio: R.Kelly anastahili nafasi ya pili
Mmiliki wa vyombo vya habari na ‘rapa’ kutoka nchini Marekani Raymond Scott, maarufu ‘Benzino’ amemkingia kifua mkali wa R&B, R. Kelly akitaka msan...
02
R. Kelly amkingia kifua Diddy
Mwanamuziki mkongwe kutoka nchini Marekani, R. Kelly ambaye anatumikia kifungo cha miaka 31 gerezani kwa makosa ya unyanyasaji wa kingono, amewaonya wale wote ambao wanamdhiha...
27
Afunga ndoa na mdoli
Mwanadada mmoja kutoka nchini Marekani aitwaye Felicity (24) anadaiwa kufunga ndoa na #mdoli aina ya #zombie aitwaye #Robert wiki moja iliyopita katika siku ya Wapendanao Febr...
14
R. Kelly aishitaki serikali kwa kuvujisha taarifa zake
Nyota wa zamani wa R&B R.Kelly, ambaye anatumikia kifungo cha miaka 30 jela kwa makosa ya unyanyasaji wa kingono, ameishitaki serikali nchini Marekani kwa kosa la kuvujish...
18
Chris Brown amtolea uvivu Tinashe
Nyota wa muziki kutoka Marekani Chris Brown aonesha kukasirishwa na kauli ya mwanamuziki Tinashe ya kudai kuwa anajuta kufanya ‘kobalo’ na Chris Brown na R. Kelly ...
21
R.Kelly : Nina wasiwasi na maisha yangu humu gerezani
Mkali wa R&B kutoka nchini Marekani R.Kelly amwaga machozi, kwani kwenye sauti iliyodakwa na Rapa house tv akiweka wazi kwamba hapati huduma bora gerezani ikiwa ni baada y...
05
Mashabiki wachukizwa na Drake kupaka rangi kucha
Rapa kutoka nchini Canada Drake amekutana na masimango kutoka kwa mashabiki wake, kupitia mitandao ya kijamii baada ya kuonekana akiwa amepaka rangi ya njano na bluu kwenye ku...
26
R.Kelly ahamishwa gereza
Mwanamuziki kutoka nchini Marekani R.Kelly ambaye anatumikia kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la unyanyasaji wa kingono, wiki iliyopita amehamishwa gereza kutoka C...
24
R.Kelly ahukumiwa miaka 20 jela
Mwanamuziki mkongwe kutoka Nchini Marekani R. Kelly amehukumiwa kifungo cha miaka 20 Jela huko Chicago kwa kesi yake ya uhalifu wa Kingono. Waendesha mashtaka nchini humo wal...
31
R.Kelly na uwezekano wa kubaki gerezani
Muimbaji maarufu nchini Marekani R. Kelly anauwezekano wa kutotoka gerezani kwa mujibu wa Wakili wa Jimbo la Cook Kim Foxx aliwaambia waandishi wa habari kwamba ofisi yake ina...
20
R Kelly na mchumba wake wapata mtoto
Msanii maarufu nchini Marekani R Kelly na mchumba wake Joycelyn Savage wameripotiwa kupata mtoto wao wa kwanza pamoja. Mtoto huyo wa kike waliempatia jina la Ava Lee Kell...
30
R Kelly Miaka 30 Jela
Ebwana eeh moja kati ya taarifa ambayo imeendelea kuzua gumzo huko kwenye mitandao ya kijamii ni kuhusiana na Mwanamuziki maarufu nchini Marekani Robert Sylvester Kelly  ...
28
R Kelly Akutwa na Hatia
Mwanamuziki mkongwe nchini Marekani Robert Sylvester maarufuku kama R Kelly amekutwa na hatia katika kesi iliyokuwa ikimkabili ya unyanyasaji wa kingono kwa wasichana wenye um...

Latest Post