Kelvin KagamboNatamani wasanii wangekuwa wanatengeneza video za ngoma zao au angalau baadhi ya video za ngoma kama Dizasta Vina. Simpo, lakini imejaa maana kubwa.Video ya wimb...
Tamika Swila, Mwananchimwananchipapers@mwananchi.co.tz Dar es Salaam. Leo ni siku ya fani (vipaji) kwa watoto duniani. Siku hii inatoa nafasi kwa watoto, wazazi, na jamii nzim...
Katika ulimwengu wa fasheni, kuna dhambi za fasheni ambazo zinajitokeza wakati wa uchaguzi wa bidhaa mbalimbali za kunogesha mwonekano wako. Dhambi hizo zipo hata kwenye upand...
Hakuna ubishi kuwa MB Dogg ni miongoni mwa wasanii wachache wa Bongofleva ambao muziki wao ulitikisa vilivyo, ngoma zake zililia sana mitaani na kutawala chati karibia zote za...
Wakati baadhi ya wasanii wa vichekesho wakitoa maudhui mbalimbali yanayohusu Mwezi Mtukufu wa Ramadhan, wanazuoni wa dini hiyo wametoa angalizo la ujumbe na maadili katika kaz...
Mkali wa Afrobeat kutoka Nigeria, Yemi Alade amefunguka kuwa amekosa tuzo nyingi kutokana na kukataa kutoa rushwa ya ngono.Wakati alipokuwa kwenye moja ya mahojiano yake Yemi ...
Marehemu mfalme wa muziki wa Pop kutoka Marekani, Michael Jackson ‘MJ’ mara zote alipokuwa akipanda jukwaani alionekana wa kuvutia kuanzia mavazi, na hata miondoko...
Katika historia, zamani baadhi ya nchi zilikuwa na sheria kali dhidi ya mtu ‘Mmbea’ (watu waliokuwa wakisambaza na kuzungumza taarifa zisizo za kweli au zisizowahu...
Baada ya Rais wa Marekani Donald Trump na mkali wa Pop Taylor Swift kutangazwa kuwepo katika fainali za ‘Super Bowl LIX’, sasa inaelezwa kuwa rapa Kanye West na mk...
Kwa kawaida tumezoea kuona kuwa wasanii hutunga na kutoa wimbo kwa ajili ya kufurahisha na kuburudisha jamii, lakini hii ni tofauti kutoka katika kijiji kilichopo Meghalaya Ko...
Rapa kutoka Marekani Drake amewachana watu wake wa karibu waliyomkataa wakati wa bifu lake na msanii mwenzake Kendrick Lamar.Drake amewatolea uvivu watu hao kupitia wimbo aliy...
Kibongo Bongo kuomba chumvi au kiungo chochote wakati wa chakula kwa lengo la kuongeza radha jambo hilo huchukuliwa la kawaida na halina shida yoyote, lakini unapoingia nchini...
Unapozungumzia muziki wa Bongo Flava kwenye jukwaa la kimataifa, ni jina moja tu litatajwa nalo ni Diamond Platnumz, yeye si nyota tu ni sura ya muziki wa Kitanzania, ambaye a...