Ikiwa ni miaka mitano tangu ametoka rasmi kimuziki, Zuchu amefanikiwa kuwa chapa kubwa yenye ushawishi katika Bongofleva na kimataifa ambapo ameshirikiana na wasanii wakubwa n...
Mahakama ya Coroner ya Ikorodu, Lagos, Nigeria, imetoa ripoti rasmi kuhusu chanzo cha kifo cha mwanamuziki Ilerioluwa Aloba, maarufu kama Mohbad aliyefariki dunia Septemba 12,...
Kama uliwahi kumkatia tamaa msanii wa Bongo Movie, Kajala Masanja kwa kudai umri umeenda na hatoweza kuolewa, basi imekula kwako, kwani tayari ameshavalishwa pete ya uchumba n...
Mkali wa Hip Hop kutoka Canada Drake, amezua gumzo mitandaoni baada ya kuonekana amefuta tattoo ya mchezaji nyota wa mpira wa kikapu, LeBron James, aliyokuwa ameichora kwenye ...
Peter Akaro
Staa muziki Marekani, French Montana ambaye pia ana asili ya Morocco ameonekana kwa mara nyingine tena akiwa na anayetajwa kuwa mpenzi wake mpya, na huyu si ...
Baada ya kuwepo kwa sintofahamu katika ndoa ya mwanamuziki Juma Jux na mke wake Pricy akidaiwa kufunga ndoa ya Kikristo na Kiislam hatimaye msanii huyo ameweka wazi kuhusiana ...
Michael Anderson
Huwa hatupendi kukosea kwa sababu tunachukulia kukosea ni kutokujua na kushindwa.
Lakini kukosea ndiyo mwanzo mzuri wa kujifunza. Unapokosea unakuwa na fursa...
Nyama ya foil ni aina ya mboga inayopendwa na watu wengi zaidi hasa wakienda katika migahawa mikubwa. Nyama hiyo hupikwa kwa kutumia foil na sio sufuria kama ambavyo watu wame...
Katika jamii nyingi mtu anayevaa suti huonekana kama mwenye nidhamu na anayejitambua. Kawaida Suti haivutii kwa sababu ya bei yake bali kwa namna inavyovaliwa, inavyotosha mwi...
Peter Akaro Akiwa na miaka 11 ndani ya Bongofleva tangu ametoka rasmi kimuziki, Billnass amesalia kuwa yule yule katika mtindo na mbinu za kutoa kazi zake kitu ambacho k...
Mkali wa muziki wa Pop kutoka Canada, Justin Bieber amerudi tena mjini kwa kishindo, hii ni baada ya kuachia albamu yake mpya inayokwenda kwa jina la ‘SWAG’ album ...
Msanii wa filamu nchini, Aunty Ezekiel amesema kilichopelekea aitwe na Bodi ya Filamu nchini ni kuchapisha picha chafu kwenye ukurasa wake wa Instagram.
Akizungumza na waandi...
Wakati akielekea kuachia albamu yake mpya ya ‘Jack Boys 2’ rapa kutoka Marekani, Travis Scott amewazawadia gari aina ya Lamborghini wasanii wote aliyowashirikisha ...
Ndoto ya msanii na mwigizaji Akon Thiam ya kujenga mji wa kisasa nchini Senegal imeota mbawa baada ya serikali nchini humo kuchukua eneo hilo walilompatia.Serigne Mamadou Mbou...