Miongoni mwa waigizaji wapya wanaotikisa kiwanda cha filamu nchini ni Abdulrazak ambaye anaonekana kwenye tamthilia ya Jua Kali.Licha ya kuonekana kwa mara ya kwanza akiigiza ...
Nyota wa filamu nchini anayetamba kwenye tamthilia ya Jua Kali, Wanswekula Zacharia 'Dora' humwambii kitu kuhusiana na kiungo mshambuliaji wa Yanga, Pacome Zouzoua anayemkosha...
Mwigizaji wa Bongo Movie Elizabeth Michael ‘Lulu’ wakati akizungumza na waandishi wa habari leo Agosti 22, jijini Dar es Salaam amesema kuwa uhusika anaocheza kwen...
Kutokana na malalamiko ya mashabiki wa mwigizaji na mwanamuziki Mimi Mars, juu ya kutoonekana tena kwenye tamthilia ya Jua Kali, hatimaye msanii huyo ameweka wazi kwa kueleza ...
Baada ya sauti ya producer maarufu nchini Lamata kusikika akisema kuwa anamuwaza aliyekuwa msemaji wa Yanga, Haji Manara kumuingiza katika tamthilia yake inayofanya vizuri ya ...
Muongizaji filamu Tanzania Lamata Leah, amewafurahisha na kuwaacha wengi katika mshangao baada ya kumuweka Waziri wa Sanaa, Utamaduni na Michezo Dk, Balozi Pindi Chana Ch...