11
Ewe Muasherati, Faidika Na Hii
Hii ni kwa wale wenye ibilisi ndani yao. Wenye upako wa shetani wao. Anayewapa ujasiri wa kutoka na wake za watu. Tuwekane sawa ili usimuangushe huyo shetani wako wa kipekee. ...
17
Jiongeze: Ali Kamwe na ufalme wa Jangwani
Kwa sasa inajulikana yupi ni yupi pale Jangwani. Nenda kwenye kurasa zao mitandaoni, tazama ‘intaraksheni’ ya mashabiki wa timu yao. Kuna namna Kamwe anacheza na a...
18
Jiongeze: Jentlomani wako hivi…
Kama hujaalikwa kwenye ishu, usiende mwanangu. ‘Samtaimzi’ hata ukialikwa usiende pia. Unaweza kualikwa na mtu ili useme hapana, kwa ushahidi tu.Halafu tumechoka w...
18
Jiongeze: Kidume ishi namna hii….
Usiishi kikondoo bro. Jiunge walau na mtandao mmoja wa kijamii. ‘Kipu in tachi’ na washikaji. Kuna wana toka praymari hamjaonana, utawakuta mitandaoni.Unaweza kupa...
04
Sababu ya kifo cha muigizaji Jacky ni upasuji kujiongezea urembo
Hatimaye uchunguzi wa maiti uliofanywa na wataalamu umethibitisha kuwa muigizaji na mfanyabiashara Jacky Smith aliyefariki dunia mwezi mei mwaka huu, alipoteza maisha kutokana...

Latest Post