Rapa Izzo Bizness kutokea Mbeya ana miaka zaidi ya 15 ndani ya Bongo Fleva, ametoa EP moja, The Capricorn (2021), huku akifanya shoo kubwa na miradi mikubwa kwenye tasnia...
Ebanaee!! Mambo ni mengi muda mchache wanetu basi bwana tasnia ya muziki huu wa kizazi kipya (Bongo fleva) kumekuwa na mtindo ili msanii atoke au afanikiwe basi afanye jambo k...