Kulingana na uchunguzi wa kitaifa uliyofanywa na ‘Advanced Dermatology’ kutoka Illinois, Marekani umebaini kuwa idadi ya wanaochukia tattoo walizochora yaongezeka....
Idadi ya mamilionea kutoka katika jiji la New York nchini Marekani imeongezeka katika miaka ya hivi karibuni huku ikikadiriwa kuwa mmoja kati ya wakazi 24 anatajwa kuwa ni mil...
Klabu ya Simba ndiyo yenye wafuasi wengi kwenye mitandao ya kijamii kwa upande wa Afrika Mashariki.
Timu hiyo inakaribia wafuasi milioni 11, kupitia kurasa zake za mitandao ya...
Utafiti uliofanywa na PEW Research Centre, nchini Marekani unaonesha kuwa wanawake wasio na wanaume (Single) nchini humo wanamiliki idadi kubwa zaidi ya nyumba ikilinganishwa ...
Msanii wa muziki kutoka nchini #Nigeria, #Harrysong, amekuwa gumzo nchini humo baada ya kuvunja rekodi ya historia ya kuoa wanawake 30 ndani ya siku moja.
Harry amevunja rekod...
Wakati #Bongo tukisubiri ‘ligi’ ianze ili tujue nani ataondoka na kiatu cha ufungaji bora, kwa upande wa Lionel Messi anaendelea kuongeza idadi ya 'magoli’ t...
Shirika la Kimataifa la Kutetea haki za binaadamu la Amnesty International limesema katika ripoti yake kuwa idadi ya watu waliouawa kwa kunyongwa ulimwenguni kote mwaka uliopi...
Zaidi ya watu 200 sasa wamethibitishwa kufariki nchini Malawi baada ya kimbunga Freddy kukumba eneo la kusini mwa Afrika kwa mara ya pili ndani ya mwezi mmoja.
Serikali imetan...
Idadi ya watu nchini China imepungua kwa mara ya kwanza katika kipindi cha miaka 60, huku kiwango cha uzazi nchini humo kikifikia rekodi ya chini watoto 6.77 kwa kila wanawake...
Umoja wa Mataifa unakadiria kwamba idadi ya wakazi duniani itafikia bilioni nane kufikia Novemba 15 na itaendelea kukua ingawa kwa kasi ndogo na kwa tofauti ya kimaeneo, katik...
Haishangazi sana kuona nchi kubwa zaidi ulimwenguni zinaongoza kiuchumi pia kuwa na idadi ya watu wengi, mataifa kama china na India yanaongoza kwa idadi &nb...
Duuuuuuuuh! Kwahiyo mmegoma kuoana au vipi basi kwenye tukio la kushtukiza kutoka katika ripoti ya mwaka huu inasemaka kuwa idadi ya watu wa rika ambao hawajaoa imeongez...