22
Dani Alves atupwa jela miaka minne na nusu kwa ubakaji
Nyota wa zamani wa Brazil, Dani Alves amehukumiwa kwenda jela miaka minne na nusu kwa kosa la ubakaji, hukumu hiyo iliyosomwa Leo Februari 22 katika Mahakama iliyopo nchini Hi...
04
Mshitakiwa amshambulia jaji, Wakati akisomewa hukumu yake
Mshitakiwa aliyetambulika kwa jina la #DeobraRedden mwenye umri wa miaka 30, amemshambulia Jaji Mary Kay Holthus wakati akisomewa hukumu yake siku ya jana Jumatano. Video zili...
29
Refa wa Mauritania kuzihukumu Al ahly na Yanga
Abdel Aziz Mohamed Bouh kutoka Mauritania, ndiye refa aliyepangwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) kuchezesha mechi ya hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika ...
16
Ahmed Ally: October 1 ni siku ya hukumu
AHMED ALLY: OCTOBA SIKU YA HUKUMUSemaji la Simba Ahmed Ally naye hajakaa kinyonge baada ya kutoka sare katika mchezo wao na Power Dynamos uliochezwa nchini Zambia, ameunguruma...
09
Aswekwa gerezani miaka 10 kwa kumpiga risasi Megan
Hatimae Rapper kutoka Canada, Tory Lanez ahukumiwa miaka 10 gerezani kwa kosa la kumpiga risasi Megan Thee Stallion. Msanii huyo alikutwa na hatia ya kumpiga risasi mwanamuzik...
31
Jide: watu wana hukumu sana
Msanii mkongwe @jidejaydee, atoa neno wa watumiaji wa mitandao ya kijamii, kupitia ukurasa wake wa Twitter ameandika ,  “Umakini unatakiwa katika kuruhusu vitu gani...
04
Irani yaongoza hukumu ya kunyonga
Shirika moja la kutetea haki za binadamu lilisema Jumatatu nchi ya Iran imewanyonga watu wasiopungua 354 katika miezi sita ya kwanza ya mwaka huu na kuongeza kuwa kasi ya kuwa...
03
Mwandishi wa habari jela miaka 5
Mahakama ya rufaa nchini Iran imemhukumu kifungo cha miaka mitano mwanaharakati maarufu na mwandishi wa habari Golrokh Iraee ambaye amekuwa akizuiliwa tangu kukamatwa kwake mw...
25
DC aonya wanawake kutembelea wanaume wasio wajua.
Mkuu wa wilaya ya Njombe, Kissa Kasongwa ametoa rai kwa wanawake kupunguza ujasiri wa kwenda kwa wanaume bila kujua vizuri ni mtu waina gani. Ni baada ya Juma Msemwa  mwe...
25
Mfuasi wa Trump ahukumiwa miaka 4
Mtu mmoja nchini Marekani alifahamika kwa kwajina Richard Barnett, mwenye umri wa miaka 63, alidaiwa kujiunga na kundi la watu waliovamia majengo ya bunge la nchi hiyo mwaka 2...
17
Idadi ya watu waliouwawa kwa kunyongwa yafikia 883,Duniani
Shirika la Kimataifa la Kutetea haki za binaadamu la Amnesty International limesema katika ripoti yake kuwa idadi ya watu waliouawa kwa kunyongwa ulimwenguni kote mwaka uliopi...
16
Watano wanyongwa kwa ulanguzi wa dawa za kulevya
Serekali nchini Iran imetoa hukumu ya kunyongwa kwa watu watano siku ya jana jumatatu kwa kufanya ulanguzi wa  dawa za kulevya kwa kutumia silaha kusini mwa nchi hiyo. Wa...
26
R.Kelly ahamishwa gereza
Mwanamuziki kutoka nchini Marekani R.Kelly ambaye anatumikia kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la unyanyasaji wa kingono, wiki iliyopita amehamishwa gereza kutoka C...
26
Rais wa Zambia afuta hukumu ya kifo
Rais wa Zambia Hakainde Hichilema amefuta sheria ya hukumu ya kifo na pia amebadili sheria ya ukosoaji wa Kiongozi wa Nchi kuwa kosa linaloadhibiwa kisheria. Kupitia mabadili...

Latest Post