Kelvin KagamboNatamani wasanii wangekuwa wanatengeneza video za ngoma zao au angalau baadhi ya video za ngoma kama Dizasta Vina. Simpo, lakini imejaa maana kubwa.Video ya wimb...
Peter AkaroAlianza mapambano yake katika sanaa akiwa tayari ni mama wa watoto wawili, ni wachache walioamini Shilole atakuja kuwa chapa kubwa hivi, safari ilianza polepole kam...
Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni, kutana na mwanaume kutoka India aitwaye Mahant Amar Bharati Ji ambaye amenyanyua mkono wake wa kulia juu kwa zaidi ya miongo minne (k...
Mkali wa Bongo Fleva ambaye ameendelea kuupeleka muziki huo Kimataifa Rayvanny amefichua alivyofanikiwa kumshawishi Maluma kufanya naye kolabo ya wimbo wa ‘Mama Tetema&r...
Tajiri na mmiliki wa mtandao wa X (zamani Twitter) Elon Musk ameongeza familia mbapo kwa sasa ameripotiwa kupata mtoto mwingine wa 14.Taarifa hiyo imetolewa na mpenzi wake Shi...
Miaka ya 1940, kulikuwa na saluni zilizopewa jina la ‘Slenderizing Salons’. Saluni hizo zilipata umaarufu kutokana na wanawake wengi kupendelea kwenda kwa lengo la...
Moja ya stori inayoendelea kusambaa katika mitandao ya kijamii ni kuhusiana na staa wa Bongo Movie Wema Sepetu kuachana na aliyekuwa mpenzi wake Whozu.Kutokana na wadau na mas...
Ni mtoto wa kihuni. Hajali lolote. Na kutokujali kwake kumemfikisha alipo. Kifupi hasikilizi la mtu wala hana hofu watu watasema nini. Ogopa mtu wa hivyo. Huyo ndiyo Diamond P...
Msanii wa Hip Hop Bongo, Nay wa Mitego alikuja na mtindo wa aina yake kwenye muziki kwa kukosoa wasanii wengine na baadhi ya mambo kwenye tasnia jambo lililompatia umaarufu ku...
Kampuni ya urembo kutoka Uhispania ya Balenciaga imezindua viatu viitwavyo ‘Zero’ ambacho ni mahususai kwa ajili ya kutumika katika msimu wa vuli mwaka 2025. Viatu...
Tunajua unajua lakini tunakujuza zaidi, wakati Bongo baadhi ya vijana wakijitahidi kuficha hatua za ukuaji (balehe), lakini kwa tamaduni za Kusini mwa Angola hakuna siri kweny...
Na Masoud KofiiBongo Fleva na Bongo Movie ni tasnia zinazofanya kazi kwa kushirikiana nchini, kutokana na muingiliano wa baadhi ya mahitaji ya kikazi mfano namna ambavyo waigi...
Baada ya kuwepo kwa minong’ono mingi katika mitandao ya kijamii kuhusiana na tuzo za muziki nchini Marekani Grammy kuwapendelea na kuwanyonya baadhi ya wasanii, sasa Mwa...
Niwasalimu kwa jina la Jamuhuri ya Muungano Tanzania, basi wote tusema kazi iendelee, kama kawaida ili mkono uende kinywani lazima kazi na juhudi ifanyike, katika juhud...