Mtindo wa kusimulia visa na matukio kupitia muziki hasa wa Rap au Hip Hip uliteka hisia za wengi kipindi cha nyuma, jumbe za kuelimisha ndizo zilichukua nafasi kwa asilimia ku...
Mkongwe wa muziki wa HipHop hapa nchini Farid Kubanda maarufu kama Fid Q, anayetamba na ngoma kama Propaganda, Kibiriti, Ripoti za Mtaani, Sumu, Champion na nyingine nyingi , ...
Mkali wa Afrobeat kutoka Nigeria Burna Boy anatarajia kutoana jasho na ma-rapa wakubwa kutoka Marekani katika tuzo za BET Hip Hop za mwaka 2024.Kupitia tuzo hizo zinazotarajia...
RAMADHAN ELIAS
KOLABO la Diamond Putnumz na Mr Blue ndio habari ya mjini kwa sasa. Wimbo ni 'Mapozi' humo ndani akiwemo pia Jay Melody. Inabamba kinoma huko kitaa.
Gemu ya Hip...
Mwanamuziki wa Hip-hop nchini FID Q kupitia ukurasa wake wa #Instagram ame-share picha akiwa na binti yake na kudai kuwa mtoto huyo anayeitwa Fidelia alimtoa kwenye hali ya ku...
Mwanamuziki wa #BongoFleva Shilole anadai kuwa anaweza kuchana huku akikumbushia wimbo wake ambao alimshirikisha msanii mkongwe Chidi Beenz uliyotoka miaka minne iliyopita &ls...
Nyie nyieee!! Mambo yanaenda kasi kwa muziki wa Bongo Hip Hop ni baada ya Young killer Msodokii kumjibu Young Lunya kupitia Freestyle Session 6 na kushika kasi kwa ufuatiliwaj...
Ebanaee!! Mambo ni mengi muda mchache wanetu basi bwana tasnia ya muziki huu wa kizazi kipya (Bongo fleva) kumekuwa na mtindo ili msanii atoke au afanikiwe basi afanye jambo k...
Mwanamuziki mkongwe wa Hip Hop, Hamadi Ally Seneda maarufu kama Madeeali ametangaza rasmi kuachana na muziki baada ya kuufanya kwa miaka 20.
Kupitia mitandao yake ya kijamii m...
Unaambiwa siku zote bwana Nabii hakubaliki kwao hahaha aisee huu msemo bwana unaniachagahoi sana lakini leo nakuletea Nabii ambaye ankubalika na watu wanamuelewa kinyama...
It’s Friday bhana kama kawaida siku hii huwa tunaruka na zile makala zote za michezo na burudani hususani kwa wasanii chipukizi kutoka vyuo mbalimbali hapa nchini....