Mwanamke mmoja kutoka Canada mwenye umri wa miaka 60 aitwaye DonnaJean Wilde, ameweka rekodi ya dunia kwa kupiga push-up nyingi zaidi ndani ya saa moja.Kwa mujibu wa kitabu ch...
Mwanamke aitwaye Maria Branyas Morera kutoka Hispania ambaye alikua akishikiria rekodi ya dunia ya ‘Guinness World Records’ kuwa binadamu mzee zaidi amefariki akiw...
Klabu anayoichezea nyota wa Brazil Neymar ya Al Hilal kutoka Saudia imevunja rekodi ya dunia na kuingia katika kitabu cha ‘Guinness World Records’ baada ya kushind...
Mtoto wa mwaka 1 na siku 152 kutoka Ghana aitwaye Ace-Liam Nana Sam Ankrah ameweka rekodi ya dunia ‘Guinness World Records’ kwa kuwa mchoraji mdogo zaidi duniani.K...
Mfanyabiashara kutoka New Orleans, Marekani, Aevin Dugas ameendela kushikilia rekodi ya kuwa na nywele ndefu za asili duniani ambapo mpaka kufikia sasa nywele hizo zina urefu ...
Mwanariadha kutoka nchini Kenya aitwaye Peres Jepchirchir amevunja rekodi ya dunia ya ‘Guinness World Record’ kwa upande wa wanawake kwa kukimbia mbio ndefu za Lon...
Mwanamume mmoja kutoka Poland aitwaye Ćukasz Szpunar (53) amevunja rekodi na kuingia katika kitabu cha ‘Guinness World Records’ kwa kukaa kwenye barafu zaidi ya s...
Mpishi maarufu ambaye alijuliakana zaidi baada ya kuvunja rekodi ya kupika kwa muda mrefu Hilda Baci anatarajia kufungua chuo cha mapishi ambapo darasa la kwanza linatarajiwa ...
Mwanamke mmoja kutoka nchini Poland aitwaye Katarzyna Jakubowska (48) ameweka rekodi ya dunia ya ‘Guinness World Records’ kwa kukaa kwenye sanduku la barafu kwa mu...
Mwanamama kutoka nchini Marekani aliyefahamika kwa jina la Lee Redmond ambaye alikuwa akishikilia rekodi ya Guinness World Records kwa kuwa na kucha ndefu zaidi afariki dunia....
Mwanadada hilda kutoka nchini Nigeria amevunja record ya dunia ya Guinness kwakupika masaa 100, mrembo huyo ameivunja record ya masaa 87 na dk 45 iliyokua inashikiliwa na mwan...
Oooooh! Ama kweli ukistaajabu ya mussa utayaona ya firauni, basi bwana hii kitu imezoeleka tuu kuonekana kwa binadamu tu lakini kumbe hadi kwa wanyama, hapa tunazungumzia watu...
Mbwa mwenye umri wa miaka 30 nchini Ureno ametajwa kuwa ndiye mwenye umri mkubwa zaidi kuwahi kutokea duniani, shirika la Guinness World Records limeeleza.
Bobi ambae ni...