30
Wanasoka wanane Afrika wamwaga wino kampuni ya Jay Z
Ikiwa siku kadhaa zimepita tangu mwanamuziki wa Nigeria Ayra Starr, kudaiwa kusainiwa chini ya lebo ya Jay Z Roc Nation. Hatimaye kitengo cha michezo kwenye kampuni hiyo Roc N...
30
Diddy aomba tena dhamana, aweka bondi nyumba yake
Mkali wa hip-hop na mfanyabiashara kutoka Marekani, Sean “Diddy” Combs (55), ameiomba mahakama imwachie kwa dhamana ya dola milioni 50 pamoja na bondi ya nyumba ya...
30
2baba Afunga Ndoa Na African Queen Namba Mbili
Mkali wa Afrobeats kutoka Nigeria, Innocent Ujah Idibia maarufu kama 2Baba, ameripotiwa kufunga ndoa ya kimila na mpenzi wake mpya aitwaye Natasha Osawaru, sherehe ambayo ilif...
30
Kama masihara, Dogo Rema huyoo anga za Bongo Fleva!
Ni takribani miezi kadhaa tangu mtengenezaji maudhui mtandaoni na mfanyabiashara Dotto Magari kumtambulisha msanii wake, Dogo Rema ambaye amekuwa gumzo katika mitandao ya kija...
30
Siri jumba la Michael Jordan zaanikwa
Michael Jordan, si jina geni masikioni mwa wengi. Hii ni kutokana na umahiri wake katika mchezo wa mpira wa kikapu NBA. Licha ya jina lake kuwa maarufu, wengi hawajui kuhusu s...
29
Vicheko, vilio wasanii walioomba kugombea CCM
Baadhi ya wasanii nchini waliochukua fomu kugombea majimbo mbalimbali wamewekwa kando na Kamati Kuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) huku wengine wakichekelea kupenya hatua inayof...
29
Kauli Ya Basata, Kuhusu Ukimya Tuzo Za Muziki Tanzania 2025
Kati ya maswali yaliyopo kwenye vichwa vya baadhi ya wadau wa muziki nchini ni sintofahamu ya uwepo wa Tuzo za Muziki Tanzania 'TMA' kwa mwaka 2025.Hii ni baada ya w...
29
Mfahamu Udit, mkali wa Masongi filamu za kihindi
Moja ya vitu vinavyowavutia watazamaji wa filamu za Kihindi ni zile nyimbo ‘Masongi’, ambayo husikika katika filamu hizo zikionesha waigizaji wakiimba.Licha ya baa...
28
Mr Blue kushinda tuzo, amtaja Sugu
Nguli wa muziki wa Bongo Fleva, Mr Blue hatimaye ameshinda tuzo ya kwanza tangu alipoanza kujishughulisha na muziki 2003.Mkongwe huyo wa Bongo Fleva ameshinda tuzo hiyo ya Ent...
28
Maendeleo afya ya Msaga Sumu yafikia huku
Msanii wa Singeli nchini, Msaga Sumu amesema hali yake inaendelea vizuri, kufuatia ajari ya gari aliyopata wakati akitokea Namtumbo mkoani Ruvuma alipokwenda kutumbuiza kwenye...
28
Wimbo wa mashabiki kwa Marioo
“Marioo anatamba ndani tu, haendi kimataifa.” Hiyo ndio fimbo tunayomchapia mdogo wetu, mshikaji wetu, Toto Badi a.k.a Marioo.Na tunaposema hivyo tunamaanisha kwam...
28
Jiongeze: Samatta aliachwa kama yatima
'255 Champion Boy' Mbwana Samatta, hakupewa sapoti ya kutosha na wadau. Wachache walisapoti harakati zake kwa upekee. Siyo wadau pekee hata wachezaji na viongozi wao...
28
Njia walizopita Wagosi wa Kaya
Kundi  la Wagosi wa Kaya linaloundwa na Dk John na Mkoloni linakumbukwa na wengi kwa nyimbo zao maarufu kama Wauguzi, Tanga Kunani, Kero, Bei Juu, Fat na Soka, Dereva, Tr...
26
Utafiti: Wanandoa Wanaokumbatiana Wakati Wa Kulala Wanafuraha
Kwa mujibu wa utafiti uliyofanywa na Josh R. Novak na mwanasaikolojia Kaleigh C. Miller kutoka chuo Chuo Kikuu cha Auburn, Marekani umebaini kuwa wanandoa wanaokumbatiana ...

Latest Post