09
Magoma akwaa kisiki kesi dhidi ya Yanga, aamriwa kulipa gharama
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeruhusu Klabu ya Dar es Salaam Young Africans Sports kufanya mapitio ya marejeo ya shauri la madai namba 187/2022 lililofunguliwa na Juma Mag...
05
Gharama kubwa chanzo mastaa kukwepa Official video
Kiwanda cha Bongo Fleva nchini kimeendelea kubadilika kila kukicha zile zama za kufanya video za nyimbo zao kwa (Madiba) Afrika Kusini hazipo tena. Kwa sasa wengi wamejikita k...
24
Kukuruku asimulia Ruger alivyomwokoa
Mtayarishaji wa muziki kutoka nchini Nigeria, #KukurukuBeats amefunguka na kutoa heshima kwa msanii #Ruger akidai kuwa amemfanya nyota yake ing’ae baada ya msoto wa muda...
07
Messi aongoza wachezaji wanaomiliki ndinga ya gharama
Ikiwa zimepita siku chache tangu tovuti mbalimbali kuorodhesha wanasoka wanaolipwa zaidi huku CR 7 akiongoza orodha hiyo na sasa umewekwa mkeka wa nyota wa michezo ambao wanam...
22
Magauni yenye gharama zaidi duniani lipo la 77 bilioni
Haya ndiyo magauni yenye gharama zaidi duniani. Vipi unaweza kununua au tukuache na nguo zako za kariakoo? 1.Nightingale ya Kuala Lumpur yenye gharama ya dola 30 milioni sawa ...
12
Hivi ndiyo viatu vyenye gharama zaidi duniani
Tumezoea kuona bei za kawaida wakati wa kwenda kununua viatu, huku baadhi ya watu wakijiwekea ukomo wa kiatu anachotaka kununua kisizidi bei Fulani. Sasa leo Mwananchi Scoop t...
24
Hotel yenye gharama, kulala usiku mmoja ni zaidi ya 744 milioni
Kama tunavyojua wapo baadhi ya watu pesa kwao sio kitu, sasa tumeamua kuwasogezea sehemu ambayo wataenda kuenjoy maisha, ambapo ni katika hoteli yenye gharama zaidi duniani il...
20
Magari yenye gharama zaidi duniani
Duniani kumekuwa na aina nyingi za magari, na kila mtu huwa na chaguo lake, japo yapo yale ambayo yakionekekana barabarani watu hujiuliza litakuwa linamilikiwa na nani kutokan...
15
Tazama nyumba ya gharama kubwa zaidi duniani
Licha ya kuwa baadhi ya watu huwekeza kwa ajili ya kujenga nyumba za ndoto zao kwa kutumia kiasi kikubwa cha pesa fahamu kuwa ipo nyumba nchini Ufaransa iitwayo Chateau ya kar...
02
Mashabiki waumia Quavo kula hot dog ya gharama
Rapper Quavo, kwenye ziara yake ya nchini Ufaransa ameonekana akila chakula cha gharama licha ya chakula hicho kuwa na umbo dogo. Quavo, bila kutaja mgahawa aliokuwepo ameones...
03
Breeder aweka wazi gharama za kufanya naye kazi
Rapper kutoka nchini Kenya Breeder LW ameweka wazi kutoza  laki mbili na elfu 46 kwa kila neno kwenye verse ya wimbo atakao shirikishwa . Gharama hizo ameziweka wazi kwen...
02
Mchezaji Chucho amezwa na mamba
Mchezaji wa ‘timu’ ya Deportivo Rio Canas kutoka nchini Costa Rica, Jesus Alberto Lopez maarufu kama Chucho (29) anadaiwa kufariki baada ya kumezwa na #Mamba mtoni...
05
Raia wa Morocco waandamana
Mamia ya watu waliandamana nchini Morocco siku ya Jumapili katika mji mkuu wa kiuchumi Casablanca kupinga kupanda kwa gharama za maisha katika taifa hilo na kutaka hatua zichu...
31
Marekani kuleta intarnet kwa gharama nafuu nchini
Weeeeeh! Vip hii imeshakufikia au bado, kama nawaona wenzangu na mie wapenda kuweka status nyingi huu ni muda wetu sasa basi bwana unaambiwa… Serikali kutoka nchini Mar...

Latest Post