Kuna methali isemayo mdharau mwiba mguu huota tende msemo huu umesadiki katika baadhi ya biashara ambazo watu wengi wamekuwa wakizichukulia poa lakini ndiyo hizo hizo ambazo z...
Katika kukuza sekta ya utalii Tanzania wanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es Salaam, wanaosoma sanaa ya ubunifu pamoja na wanafunzi wa kidato cha kwanza hadi cha sita kutoka shul...
Kutokana na tabia ya baadhi ya wasanii kudanganya umri na kutaja mdogo zaidi uoga wa uzee na ubaguzi unataja kuwa chanzo cha kufanya hivyo. Akizungumza na Mwananchi Scoop mwan...
Ni kawaida kuona povu linalofanana na mate kwenye mimea hasa asubuhi au kipindi cha masika. Povu hilo wengi huamini ni mate ya nyoka na kusababisha kuogopa kuyashika.Licha ya ...
Waswahili wanasema ‘Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya firauni’ msemo huu unatupeleka moja kwa moja kwa mwanamama Hetty Green, mwanamke ambaye ameishi akivaa nguo ya...
Mkongwe wa muziki wa dansi nchini, Khalid Chuma 'Chokoraa' amesema, ndani ya muziki huo kuna unafiki mwingi kitu kinachokwamisha kuwapo kwa ushirikiano wa kuupeleka mbele zaid...
Baada ya kuzuka tetesi kuwa mwanamitindo Chidimma Adetshina (23) anayeshiriki ‘Miss Afrika Kusini’ kubaguliwa kwenye shindano, kwa madai ya kuwa ni raia wa Nigeria...
Katika enzi hizi za kidijitali ambazo mitandao ya kijamii na majukwaa ya video yanachangia kwa kiasi kuburudisha jamii na kufurahia muziki, wimbo wa watoto "Baby Shark Dance" ...
Mwananmuziki kutoka Marekani Clifford Joseph Harris ‘T.I’ alikamatwa na polisi katika uwanja wa Ndege wa Atlanta ‘Hartsfield-Jackson’ baada ya utambuli...
Katika miaka ya hivi karibuni, teknolojia imekuwa na mchango mkubwa katika sekta ya burudani. Kuanzia muziki, filamu, michezo, hadi sanaa nyingine kama vile uchoraji, teknoloj...
Wameingia kwenye mfumo!. Ni kauli aliyoitoa staa wa Bongofleva, Diamond Platnumz baada ya wimbo wake ‘Komasava’ kubamba sehemu nyingi duniani ikiwemo Nigeria ambap...