27
Jinsi ya kuongeza thamani yako ukiwa chuoni
Na Michael Onesha Mtu wa kwanza kutambua na kuamini kuwa wewe ni wa thamani kubwa ni wewe mwenyewe. Rule namba moja ukiwa kama kijana wakike au wa kiume unatakiwa kujiona wa t...
03
Zijue chaguzi za serikali za wanafunzi vyuoni
Na Michael AndersonNiccolò Machiavelli , katika kitabu chake maarufu ‘The Prince’, aliandika kama kiongozi hawezi kuogopwa na kupendwa kwa wakati mmoja, ni ...
27
Kuwa makini na utapeli wa aina hii chuoni
Na Michael OneshaNiaje niaje watu wangu wa nguvu, leo ndani ya unicorner nimekusogezea mada ambayo inakuamsha wewe mwanafunzi wa chuo ambaye bado umeamua kukumbatia matatizo y...
20
Mwanamke na uongozi chuoni
Na Michael AndersonWanawake chuoni wanahitajika kuaminisha jamii ya kwamba kila mwanamke ana uwezo mkubwa ndani yake, kila mwanamke ana hatima kubwa inayomsubiri, kila mwanamk...
22
Jinsi ya kufanya tafiti ya kuvutia ukiwa chuoni
Na Michael Anderson Nikizungumza kuhusiana na kufanya tafiti ‘research’ kwa wanafunzi wa chuo si jambo geni kabisa, mara nyingi hupewa wanafunzi wanaokaribia kuhit...
06
Utafiti: Kufunga kunafanya watu wawe na afya njema
Utafiti uliofanywa na Chuo cha Cambridge umeeleza kuwa kufunga mara kwa mara kunawaongezea binadamu uzalishaji wa mafuta muhimu na kusababisha kuwa na afya njema na kupunguza ...
25
Mwaka wa kwanza chuoni
Na Magreth BavumaNiaje niaje wakuu karibuni tena kwenye ‘kona’ yetu pendwa ya wanavyuo “unicorner” eneo moja tu linalowakutanisha wajanja wote walioko ...
06
Umuhimu wa kuwa single chuoni
Na Magreth Bavuma Ouyah eeeeh niaje niaje, karibuni tena kwenye segment yetu pendwa ya dunia ya wanavyuo “unicorner” sehemu moja tu tunayo elimishana juu ya m...
19
Mikakati ya kuvishinda vishawishi vyuoni
Ouyah eeh! mambo niaje, hopefully wote tuko poa kabisa karibu tena kwenye corner yetu pendwa ya wanavyuo alafu usisahau kuwaambia na wanao kwamba ujanja ni kuwa sehemu ya hii ...
23
Umuhimu wa mazoezi katika kuimarisha afya yako ya akili chuoni
Magreth Buvuma Niaje niaje wakuu, karibu tena kwenye session yako pendwa kabisa ya Uncorner, na sehemu ni moja tu ambayo tunapiga story huku tukijifunza mambo mbalimbali yanay...
08
Faida na hasara za marafiki kuwa wapenzi chuoni
Na Magreth Bavuma Ouyaaaaaah wanangu eeeeh niaje niaje, kusanya kijiji chako wakaribishe kwenye kona yetu pendwa ya dunia ya wanavyuo “unicorner” eneo moja tu tuna...
01
Jinsi ya kugeuza kipaji chako kuwa pesa ukiwa chuoni
Na Magreth Bavuma Wanangu woyo woyo woyo, niaaaje hopefully mko swafi kabisa karibu tena kwenye corner yetu pendwa a.k.a dunia ya wanavyuo “unicorner” sehemu moja ...
24
Safari ya ujasiriamali kwa wanavyuo
Na Magreth Bavuma Mambo niaaaaje, wanangu wa moyoni, segment yako pendwa kabisa ya unicorner sehemu moja tu ambayo tunapangana na kupanguana, kujifunza na kuelimishana kuhusu ...
17
Jinsi ya kuimarisha afya yako ya akili chuoni
Na Magreth Bavuma Niaje, niaje wanangu kama ilivyo kawaida yetu kupoa ndio kitu tulikataa, karibu tena kwenye segment yako pendwa kabisa ya unicorner sehemu moja tu ambayo tun...

Latest Post