23
Bellingham apata tuzo ya mchezaji bora wa kiume
Kiungo mshambuliaji wa ‘klabu’ ya #RealMadrid, #JudeBellingham usiku wa kuamkia leo amepata tuzo ya mchezaji bora wa kiume katika tuzo za ‘Laures Sports Awar...
25
Jobe agombaniwa Ulaya
Kiungo wa ‘klabu’ ya #Sunderland, Jobe Samuel Bellingham agombaniwa na ‘vilabu’ kadhaa barani Ulaya ikiwemo #Chelsea na #TottenhamHotspur kwa ajili ya ...
11
Njia za kuposti video, picha bila kupoteza ubora wake
Watu wengi wamekuwa wakichukizwa na matokeo wanayopata baada ya kuposti picha au video kwenye mtandao wa Instagram kutokana na wanachoposti kupungua ubora wake wa mwanzo.Hivyo...
11
Murphy mwigizaji bora wa kiume Oscar 2024
Mwigizaji maarufu kutoka nchini Ireland, Cillian Murphy ameshinda Tuzo za Oscar 2024 katika kipengele cha Mwigizaji Bora wa Kiume, tuzo zilizotolewa usiku wa kuamkia leo katik...
23
Bess ashinda tuzo ya kocha bora 2024
‘Kocha’ mwenye umri mdogo zaidi wa mchezo wa kikapu aitwaye Christopher Bess (6) ameshida Tuzo ya ‘Kocha’ bora mwaka 2024, baada ya ‘timu’ ...
12
Teni amwaga machozi kukosa ushindi AFCON
Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria, #Teni amwaga machozi baada ya ‘timu’ yake ya taifa #Nigeria kukosa ushindi katika mashindano ya fainali ya AFCON 2023 kwa kufung...
31
Filamu ya Travis yageuka gumzo
Baada ya mwanamuziki kutoka nchini Marekani Travis Scoot kufanya vizuri kwenye muziki wa hip-hop, kwa kutoa ngoma kali kama vile ‘My Eyes’, ‘Butterfly Effect...
29
Konde Boy bado kuna shida
Anaandika sana. Sioni mwenye uwezo huo kwa kizazi hiki. Anaandika mpaka kuandika kunamshangaa. Msikilize kwenye “Bakhressa”, “Kama Unamjua” ama rudi kw...
29
Man City ndiyo klabu bora duniani
‘Klabu’ ya #ManchesterCity sasa inaongoza katika orodha ya ‘vilabu’ bora duniani, ikichukua nafasi ya kwanza kutoka katika ‘klabu’ ya #Real...
28
Nicki Minaj na Megan wangia kwenye bifu zito
Nyota wa muziki kutoka nchini Marekani #NickMinaj na Megan Thee Stallion wameingia kwenye bifu zito baada ya Nicki kufanya mzaha kuhusu mama yake Megani aliyefariki miaka sita...
16
Messi mchezaji bora wa FIFA 2023
Baada ya kuwa mchezaji aliyetafuta zaidi kupitia mitandao ya kijamii katika nchi mbalimbali kwa mwaka 2023 na sasa mchezaji wa ‘timu’ ya Taifa ya Argentina na &lsq...
06
Jinsi ya ku-post video,picha bila kupoteza ubora
Instagram ni moja kati ya mitandao ya kijamii maarufu na wenye watumiaji wengi zaidi dunianisiku za nyuma ilikuwa ukirudia kupandisha (ku-post) video mara kadhaa inapoteza ubo...
05
Ronaldo ashinda tuzo mfungaji bora 2023
Nyota wa ‘klabu’ ya Al Nassr FC kutoka Saudi Arabia, Cristiano Ronaldo ameibuka kidedea kwa kushinda Tuzo ya Maradona kutoka Globe Soccer kama mfungaji bora kwa mw...
31
Kipre kinara mchezaji bora wa mwezi
Kiungo mshambuliaji wa  ‘klabu’ ya #AzamFC, #KipreJunior, amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi Desemba katika ‘Ligi’ Kuu ya #NBC msimu wa 2023...

Latest Post