Ni ukweli usiopingika Yammi ambaye ni first born wa lebo ya The African Princess ya kwake Nandy ni mmoja kati ya wasanii wa kike Bongo wanaofanya vizuri tangu alipotambulishwa...
Kabla ya kutumia bidhaa za urembo, ni muhimu kujua na kuelewa mambo kadhaa ili kuhakikisha kuwa unatumia bidhaa zinazofaa na salama kwa ngozi yako. Mwananchi Scoop imeangazia ...
Na Aisha Lungato
Maendeleo makubwa katika masuala ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama) imeenda kubadilisha nyanja mbalimbali ya maisha yetu ikiwemo namna tunavyowas...
Mwanamuziki kutoka visiwa vya Barbados, #Rihanna amepata shavu katika kampuni ya ‘Christian Dior’ inayojihusisha na masuala ya utengeneza nguo na urembo kwa kuteng...
Aliyekuwa kiongozi wa kampuni ya #Apple, Bobak Tavangar, ambaye kwasasa ni CEO wa Brilliant Labs amezindua miwani inayoweza kutafsiri lugha, kutambua unachokitazama na kukuwez...
Katika taarifa yake na vyombo vya habari Mkurugenzi Mtendani kampuni ya Apple, Tim Cook ameeleza kuwa mpaka kufikia Januari walipozingua ‘Vision Pro’ kampuni hiyo ...
Muigizaji kutoka nchini Marekani, #AdamWylie, anadaiwa kukamatwa na polisi kwa kosa la kuvunja maduka ya Ol Target nchini humo na kuiba bidhaa katika maduka hayo.
#BurbankPD &...
Mamlaka ya Chakula na Dawa nchini Marekani imependekeza kupiga marufuku bidhaa za kunyoosha nywele kutokana na masuala ya kiafya.Mamlaka hiyi inasema kuwa inapendekeza kupiga ...
Msanii kutoka nchini Nigeria, Rema ala shavu kufanya kazi pamoja na mchezaji wa zamani wa mpira wa kikapu na mfanyabiashara Michael Jordan kwenye tangazo la bidhaa za michezo ...
Ebwana mambo vipi bila shaka utakua uko fresh kabisa karibu ukurasa wetu wa smartphone kama kawaida ili kujadili mambo kadha wa kadha kuhakikisha unaitumia simu yako vizuri
Le...
Na Tanzania Tech
Utaweza kupata bidhaa bora na zenye kufanana na picha ya bidhaa usika
Kwa sasa ni wazi kuwa watu wengi zaidi wamekuwa wakifanya manunuzi mtandaoni, lakini ni ...
Na Habiba Mohamed
Ukisubiri upate mtaji wa rasilimali fedha, ndipo uanze kufanya biashara basi unaweza kuchelewa sana au kutofanya kabisa.
Biashara nyingi sio mpya, nyingi ni ...