21
Zuhura kabla ya kuwa Zuchu, alipita kwenye msoto mkali
Mauzauza, Ashua, Hakuna Kulala, raha na Wana ni baadhi ya nyimbo za mwanamuziki wa WCB Zuchu zilizomtambulisha kwenye gemu mwaka 2020 baada ya kutambulishwa kwenye lebo hiyo y...
04
Diddy auza nyumba yake ya Los Angeles
Mfanyabiashara na mkali wa Hip-hop Marekani Diddy Combs ameripotiwa kuuza jumba lake la kifahari lililopo jijini Los Angles kwa dola milioni 70 ikiwa ni sawa na Sh 185.8 bilio...
10
Jennifer Lopez na Ben wauza nyumba, Wadaiwa kuachana
Mwanamuziki wa Marekani Jennifer Lopez na mumewe Ben Affleck wanadaiwa kuachana baada ya kuuza nyumba yao waliyoijenga pamoja kwa dola 60 milioni. Kwa mujibu wa tovuti ya TMZ ...
06
Pisi kali hana pigo hizi
Pisi Kali hanywi pombe kali wala ngumu. Anakunywa pombe laini tena zisizozidi chupa tatu kwa wikiendi tu. Siku za kawaida pisi kali hagusi pombe wala hana outing. Pisi kali ak...
09
Taylor Swift auza ndege yake
Baada ya kuzuka sintofahamu kupitia mitandao ya kijamii kuhusiana na ndege binafsi ya mwanamuziki Taylor Swift kudukuliwa na mwanafunzi wa Florida, na sasa inadaiwa kuwa Taylo...
28
Wanandoa wauza mali zote, Wakaishi kwenye meli
Wanandoa kutoka nchini Marekani wajulikanao kama John Hennessee, na mkewe Melody Hennessee wanadaiwa kuuza mali zao zote kwa ajili ya kwenda kuishi kwenye meli. Kwa mujibu wa ...
25
Zijue mbinu na namna za kuzingatia katika uvaaji wa pete
Niajeeeh!!! Another weekend vipenzi vyangu na watu wangu wa nguvu kama ilivyo kawaida yetu ni muhimu kwetu kupitia dondoo za fashion kila wiki kwasababu tunajua mitindo ni mai...
22
Changamoto wanazo kumbana nazo wauzaji wa simu
Hellow! I hope mko pouwa watu wangu  wa nguvu, tualikane basi hayo mabiriani sio mle wenyewe, au ndo mpaka tuongee kiarabu hahahah! (Jokes), kama kawaida katika kulizonge...
25
Justin Bieber auza haki za nyimbo zake
Muwimbaji nguli na mtunzi wa nyimbo Justin Bieber ameuza sehemu ya haki ya muziki wake kwa kampuni ya muziki ya Hipgnosis Songs Capital kwa dola milioni 200. Kampuni hiyo sasa...
19
Auza mtoto wa siku tano akatengeneze pua
Hii sasa balaa aiseee, dunia simama nishuke  ukistaajabu ya Mussa, utayaona ya Firauni. Mwanamke mmoja ambaye jina lake limehifadhiwa amekamatwa na kushtakiwa baada ya ku...

Latest Post