Kampuni ya uzalishaji na usambazaji wa filamu nchini Marekani ‘Universal Pictures’ imetoa tamko kuhusiana na minong’ono ya mashabiki kupitia mitandao ya kija...
Kufuatia na tukio lililotokea mapema leo la kuporomoka kwa moja ya jengo Kariakoo na kusababisha maafa pamoja na majeruhi baadhi ya mastaa wametoa salamu zao pole kwa wafanyab...
Glorian SulleMwanamuziki Angelique Kidjo (64) raia wa Benin amewataka wasanii ambao ni kama kioo cha jamii kutoa maoni kuhusu siasa na si kusifia chama.Kidjo amesema endapo ms...
Saa chache baada ya kutemwa rasmi na Simba, mshambuliaji Freddy Michael Kouablan amevunja ukimya na kufunguka ya moyoni, akisema alichofanyiwa na mabosi wa klabu hiyo kwake im...
Licha ya kuwa nchini wameendelea kuibuka waigizaji wengi chipukizi, lakini baadhi ya waandaaji wa filamu wanaonekana kurudia wasanii katika kazi zao, jambo ambalo limekuwa lik...
Timu ya mpira wa kikapu kutoka Marekani ‘Los Angeles Lakers’ siku ya Jana Agosti 2, imezindua sanamu la marehemu nguli wa kikapu Kobe Bryant na mwanaye.Kufuatia na...
Mchezaji wa ‘klabu’ ya PSG Ashraf Hakimi ambaye yupo Tanzania kwa ajili ya mapumziko na kutembelea vivutio mbali mbali vya utalii, kupitia taasisi yake ya ‘A...
Baada ya kukutana na changamoto katika ndoa zao waigizaji Will Smith na Martin Lawrence, wametoa ushauri kwa wanandoa na wapenzi kwa kusisitiza kutendeana mema.
Wawili hao wam...
Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola jana alimwaga machozi baada ya kuulizwa swali kuhusu kuondoka kwa meneja wa Liverpool, Jurgen Klopp.Klopp jana aliiongoza Liverpool kwe...
Baada ya video ya Diddy ikimuonesha akimpiga aliyekuwa mpenzi wake Cassie kuvuja na kusambaa katika mitandao ya kijamii, na sasa mume wa Cassie, Alex Fine ameyatoa ya moyoni h...
Wanamuziki kutoka nchini Diamond, Jux, Billnass, Mbosso na mtayarishaji S2kizzy (Zombie) wako jikoni kuandaa ngoma ya pamoja ambapo kupitia video inayosambaa mitandaoni inawao...
Ikiwa zimepita siku kadhaa tangu mahakama nchini Afrika Kusini kumtaja mfanyabiashara, Sydney Munda Gcaba kuwa ndiye aliyewalipa Sh 109 milioni watuhumiwa sita wa mauaji ya al...
Akiwa anaendelea na ziara yake kwa ajili ya kufanya kazi na wasanii mbalimbali, mwanamuziki wa Bongo Fleva, Rayvanny ametoa shukurani zake za dhati kwa wasanii kutoka katika m...