Imeripotiwa kuwa ardhi ya mwanamuziki kutoka Marekani mwenye asili ya Senegal, Akon muda wowote kuanzia sasa inaweza kuchukuliwa na Serikali ya Senegal, endapo hatokamilisha m...
‘Rapa’ kutoka nchini Marekani Rick Ross ameweka wazi kuwa anampango wa kujenga nyumba chini ya Ardhi ambayo itakuwa na chumba cha kulala, gereji na mashine inayote...
Tetemeko la ardhi nchini Japani limesababisha vifo vya watu taribani 48 na kufanya uharibifu katika sehehemu mbalimbali nchini humo.
Inaelezwa kuwa tetemeko hilo lilianza siku...
‘Rapa’ kutoka #Jamaica #SeanPaul anadaiwa kusitisha mahojiano baada ya tetemeko la ardhi lililoikumba jengo la #Kingston nchini humo.
Kwa mujibu wa vyombo vya haba...
Uwanja ambao limefanyika tamasha la ‘Rapa’ kutoka nchini Marekani Travis Scott ambalo alimualika mwanamitindo na muimbaji Kanye West, uwanja wa Kihistoria wa Circu...
Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan ametanga kuwa serikali inaongeza mishahara ya wafanyakazi wake kwa asilimia 45, na hii ni siku tano kabla ya uchaguzi mkuu.
Kura za maoni ...
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imeruhusu mabasi ya mikoani yaanze safari saa tisa usiku ambapo imeagiza wamiliki wa mabasi wanaopenda kuanza safari muda huo wafik...
Matetemeko ya ukubwa wa 6.4 na 5.8 yalipiga kusini mashariki karibu na mpaka na Syria, ambapo matetemeko hayo yaliharibu nchi zote mbili mnamo 6 Februari.
Kwa mara nyingine te...
Siku tisa baada ya maafa ya tetemeko la ardhi Uturuki na Syria, wanawake watatu na watoto wawili wamepatikana wakiwa hai.
Baadhi ya wanawake hao walitambulika kwa majina ya Me...
Zoezi la uokoaji likikaribia mwisho idadi ya watu waliofariki kutokana na tetemeko la ardhi lililotokea Jumatatu iliyopita nchini Uturuki na Syria imeongezeka na kufikia zaidi...
Idadi ya watu waliofariki katika matetemeko Mawili yenye kipimo cha Richa 7.8 na 7.6 yanazidi kuongezeka kadri muda unavyosogea, ambapo hadi hivi sasa Turkey imerek...
Ripoti za idadi ya waliofariki inaendelea kuongezeka kufuatia tetemeko la ardhi la ukubwa wa 7.8 kwa kipimo cha richa kuzipiga Uturuki na Syria, usiku wa kuamkia Februari 6, 2...